Recent content by NYOKA MWENYE MAKENGE

  1. N

    JamiiForums Tanzania Akaunti gani ya NMB ni bora zaidi kwa kutunza hela?

    Bonus account nikiweka 100000 kwa mwez bonus ni sh ngap
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mchanganyiko bora wa juisi ya matunda ni upi?

    Korosho,tende,maziwa,almond,,karanga hio hatari
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwa Dar ni chuo gani kizuri Kinachofundisha Driving Course?

    Victory driving school , Mwenge ipo poa
  4. N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni Mwalimu Wa secondary wa Biology, nipo kibaha district tubadilishane kituo nije Arusha Town council haps kwenda Dar dk 40 tu ni dm kama upo
  5. N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Tubadilishane kituo cha kazi Mimi Ni mwalimu Wa secondary ,nafundisha biology nipo Kibaha district njoo Kibaha , nije Arusha Town Council
  6. N

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Natafuta engine ya Vitz old model cc 990 njoo Dm kama unayo
  7. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa changamoto za gari ya Toyota Alphard na aina zake

    Nunua gari la familia halaf nunua vitz la kazin
  8. N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ndugu zangu mm ni mwalimu Wa Secondari nipo Mlandizi natafuta Mwalimu wilaya ya Arusha mjini tubadilishane aje kibaha mm nije Arusha namfata mume wangu upatapo ujumbe huu nitafute kwa 0787000247
  9. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu gari aina ya Toyota Allion

    Anayeijua sifa ya hii gari wakubwa kuna mtu anaiuza nawaza kuinunua. Toyota Allion
  10. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni sifa ya gari aina ya Alphard G

    Habari ndugu naomba kufahamu nguvu na uwezo wa Alphard G naiwaza ninunue iwe ya familia iwe Ni 4 cylinder,Nawakilisha kwenu
Back
Top Bottom