Niliwai kusikia,alifumaniwa na mke wa mtu,akapewa choice mbili,kukatwa mkono au kufanyiwa kitu mbaya na wanaume wenzie na kutangazwa kwenye magazeti akachagua kukata mkono wakasisitiza lazima uwe wa kulia ndo akakatwa.sijui kama ni kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Pdidy nakuunga mkono,pamoja na maombi uwazi ni muhimu na wenye taarifa wasiishie jambo forums tu,waende na sehemu nyingine ambako taarifa zinaweza kuwafikia watu wengine
Mi Kikwete nimemzoea kabisaa,kwa usanii Rais wangu nampa namba moja.Nampenda kwa kuwa anajua kucheza na mind za watu wasiopenda kwenda kwenye details lakini ni mashabiki wazuri na wasiofikiria vizuri.Kwangu mimi bao kabisaa,akimkamata Balali na chain yake yote ntaanza kumuelewa lakini huo usanii...
The struggle continues,no matter what there is still a need to fight.Watu wa East Africa na wapenda Demokrasia inatosimamia haki,maadili ana uaminifu hatupaswi kukubali mambo yaishe kiholela.Raila hakugombea uwaziri mkuu bali urais,kwa maoni yangu kama mtu ninayyeamini ameibiwa kurana wapumbavu...
Kwa wale tunaofuatilia makala zake,tuna kilasababu ya kuamini kuwa katika hili kuna mkono wa mtu mmoja katili lakini pia mwenye nafasi kubwa na anayepigwa vita na walio wengi kuwa ni mbadhirifu,uchunguzi ni muhimu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.