Recent content by nyimbag

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ibara 53 ya katiba inayopendekezwa inavyomzungumzia mtoto na haki zake

    53.-(1) Kila mtoto ana haki ya: (a) kupewa jina, uraia na kusajiliwa; (b) kutoa mawazo, kusikilizwa na kulindwa dhidi ya uonevu, ukatili, udhalilishaji, utumikishwaji na mila potofu; (c) kuwekewa mazingira bora ya kucheza na kupata elimu ya msingi; (d) kuhifadhiwa katika mazingira mazuri...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado ni mfano wa kuigwa kisiasa

    Asalam alyekum waungwana! Kwa wakristo bwana asifiwe! Jamani pamoja na kuwepo na changamoto nyingi za kisiasa. Kitendo cha rais wa msumbiji kuichagua tanzania kama nchi yake ya kwanza kufanya ziara ya kimataifa kinadhihirisha wazi kuwa bado nchi ya tanzania inaendelea kuwa kinara cha siasa za...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mpango wa wabunge kufisadi nchi kupitia posho na kiinua mgongo huu hapa

    duuh hii sasa sifa! Halafu mbona hakuna mbnge anayelipeleka hili suala kama hoja binafsi. Magazeti yetu nayo naona kimya. TV nazo naona kimya. face books. ingependedeza kama watu wangelipigia kelele hili suala maana hali ya wananchi haiendani kabisas na kinachotafutwa. wabunge hawa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete nchi imemshinda mwanzo mwisho

    wewe familia yako umeiweza au unashinda mitandaoni tu?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Jamani kama Intellectuals hebu tuweke ushabiki pembeni, tujadili haya madai ya madereva wetu

    katika hili suala yapo mambo ya msingi na yanayoweza kufanywa na serikali na pia yapo ambayo siyo realistic lakini kamati iliyoundwa na PM itayashughulikia yote!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mizengo Pinda aunda kamati ya kushughulikia kero ya Usafiri nchini

    nawashangaa sana watu wanaombeza PM. Uamuzi aliouchukua ni sahihi kabisa. Hawa madereva na wamiliki wa magari ni wepesi sana wa kupandisha bei za nauli mafuta yakipanda bei lakini yakishuka bei wanajifanya hawaoni. Kwa mtu anayefikiria vzr hili suala la mgomo wa madereva si la kisiasa. sasa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Shikamoo vyombo vya Ulinzi na Usalama

    ni kweli kabisa inabidi tuwaheshimu watu wanaotulinda
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wananchi wengi wanaikubali Katiba Inayopendekezwa - Utafiti Twaweza

    Citizens support Katiba draft Published on Thursday, 02 April 2015 Written by DAILY NEWS Reporter AS the deadline for referendum on the proposed constitution is near, over half of citizens say they would vote for the proposed draft, Twaweza findings report released on Wednesday...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aonya kuingiza dini katika siasa

    Rais Kikwete Aonya Chokochoko za Siasa Kupitia Dini Mpekuzi blog RAIS Jakaya Kikwete amesema wakati taifa likielekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani baadaye mwaka huu, kumeibuka nyufa zinazojengwa na baadhi ya viongozi wa kisiasa na mashabiki wao ambao...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusiana na Muswada wa Mahakama ya Kadhi

    Hili suala tulifanye kwa hekima ushindani siyo mzuri tuwatafute viongozi wetu wa kisiasa tuongee nao. Mbona wao hawatuingilii kwenye nyumba zetu za ibada wanatuheshimu. Mi ushauri wangu 'tujadiliane hatua kwa hatua tutafika tu!"
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kaka yake Josephat Gwajima amtaka mdogo wake amuombe radhi Pengo

    Ni kweli hakuwa na haki ya kumponda mwenzake hadharani ovyo ovyo vile halafu anakimbia kimbia ndo maana yake nini ile video hatuelewi kama askofu angeweza mtafuta pengo na kuongea naye kiutu uzima si kila jambo la kujitafutia sifa
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mkinga- kigezo kuwa katiba inayopendekezwa haijasambazwa vya kutosha ni mufilisi

    Hivi karibuni nilimsikia yule mchambuzi nguli nchini mkinga akihojiwa kwenye tv. Mkinga aliwakosoa wale wanaosema kuwa katiba inayopendekezwa ipingwe kwasababu hakuna nakala za kutosha. Mkinga alisema kuwa watanzania hawana utamaduni wa kusoma na ndiyo maana hata ile katiba ya mwaka 1977 imekaa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania KATIBA PENDEKEZWA NA MAZURI YAKE ndani ya vipengele vyake

    ebwana kweli kabisa umeongea point mambo mengi mazuri yapo lkn watu wanataka negativu tu
  14. N

    JamiiForums Tanzania Vijana wanya viroba msikubali kutumika kisiasa! Katiba imewatambua, tumieni nafasi leo siyo kesho

    VIJANA WANYA VIROBA :mvutaji:MSIKUBALI KUTUMIKA KISIASA! KATIBA IMEWATAMBUA, TUMIENI NAFASI LEO SIYO KESHO Katika taifa lolote vijana ni nguzo kuu ya kuleta maendeleo katika jamii husika. Ushiriki wa vijana katika harakati zote za kijamii, kiuchumi na kisiasa ni nguzo muhimu katika ujenzi wa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete: Serikali haitaanzisha Mahakama ya Kadhi

    Tarehe 28 Machi, 2015 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini zote mbili Ukristo na Uislamu, katika mkutano wa Kamati ya Amani Tanzania uliofanyika katika Ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere, uliopo Posta Dar es Salaam alitoa hotuba ya...
Back
Top Bottom