Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,417
- 82,370
TAARIFA:
Kufuatia taarifa za kuupelelezi usiku wa saa 6 maofisa usalama mkoani Dsm walivamia nyumba moja iliyopo magomeni na kukamata watu nane wanaume saba( wawili wana asili ya kisomalia) na mwanamke mmoja wakiwa na silaha aina mbali mbali ikiwemo bunduki 5 aina ya AK 47 pamoja na bastola 4 za kivita na mabomu ya mkono 30. Na pia walikuwa na magari matatu Noah moja na Gx 100 mbili zimepaki nje. Vile vile wamekamata nyaraka mbalimbali pamoja na ramani za chuo cha usimamizi wa fedha, ifm. Watuhumiwa wanashikiliwa kwenye vituo tofauti tofauti kwa mahojiano zaidi. Wananchi wanaombwa kutoa taarifa Mara moja Police viashiria vyote vya uhalifu. CHUKUENI TAHADHARI
Nimefoward kama nilivyopokea.
Mkuu hiyo nyumba iko mapipa nini? Japo umefowadiwa hebu nipe habari vizuri kama unajua kuhusu hilo.