Recent content by nyigo Jn.

  1. nyigo Jn.

    Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

    Hakuna mkoa ulojaa bro kikubwa ubunifu tu
  2. nyigo Jn.

    Biashara ya mbao Vs Ufugaji wa kuku

    Oky mkuu soko lenu huko lipo chini kidogo kuna ahueni kidogo sema sijajua transport gar kubwa ikipakia hapo mpaka dar ni sh ngap? Kwa uzoefu wako kwa mchanganyiko wa 2*4 2*6 1*6 1*8 1*10 gar inaweza pakia pics ngapi?
  3. nyigo Jn.

    Biashara ya mbao Vs Ufugaji wa kuku

    Ngoja niongeze nyama kidogo juu ya hili la mbao Biashara ya mbao hususani nyeupe ipo ktk makundi almost matatu 1. Huyu ni yule mfanya biashara anae vuna miti na kuichana kisha kuziuza mbao zake huko huko shamba kimsingi kundi hili yeye kajikita ktk kuvuna tu katika kundi hili kuna aina mbili...
  4. nyigo Jn.

    Biashara ya mbao Vs Ufugaji wa kuku

    Hongera mkuu kwa mchanganuo mzuri hizo bei ni soko lipi mkuu?
  5. nyigo Jn.

    Biashara ya mbao Vs Ufugaji wa kuku

    Mkuu usithubutu kufanya biashara yeyote bila kuwa na taarifa kutoka vyanzo sahihi.
  6. nyigo Jn.

    Hivi ni kwamba bidhaa za mbao hazina thamani tena siku hizi?

    Yani ww unaringanisha thamanu ya mbao na chuma duh hii kweli tatizo by the way watanzania tunapenda sana cheap thats why tunakipa thamani chuma ili tu kuiridhisha mioyo yetu Inshort hivyo vyuma vimeletwa ili tu kusaidia kupunguza gharama kwa watumiaji katu usije ringanisha thamani ya mbao na...
  7. nyigo Jn.

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Mkuu inshort kama mm nishafanya biashara ya mahindi mkuu nilikuwa nayatoa mbozi mlowo nayaleta iringa nasaga na kufunga mifuko ya kg 5 , 10, 25 na kimsingi nilifanikiwa kwa kiasi kikubwa nilipata watu wa kuwasambazia hizo sembe tena kwa bei za jumla mkuu sasa kwa ww kama upo Dar nenda tandale...
  8. nyigo Jn.

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Hakuna biashara mbaya kwa uchumi wa sasa kama kumkabidhi dalali mzigo wako tena wenye thamani ya 15 ml then uje kuchukua pesa after sijui 2 days mkuu acha kabisa hii kitu nenda sokoni mwenyewe epuka dalali utafilisika Sent using Jamii Forums mobile app
  9. nyigo Jn.

    Msaada jamani

    Nawezaje kutambua iphone fake na original maana kuna wimbi kubwa sana la sim fake
  10. nyigo Jn.

    Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

    Wakuu naomba kujua ni site gani nzuri naweza kudownload tamthiria za kifilipino
  11. nyigo Jn.

    Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    Wakuu samahani screen + touch huawei G8 Rio ni sh ngapi!
Back
Top Bottom