Recent content by nygax

  1. nygax

    Biharamulo: Picha ya mtoto akisomea kwenye taa za barabarani

    Inawezekana dogo alikuwa akimsubiri mwenzie akaona isiwe tabu, ngoja akumbushie baadhi ya 'definitions'
  2. nygax

    Tunaposema Mbowe siyo gaidi, tunamaanisha hivi

    tayari umeshakuwa bias, umesema polisi wameframe makosa yake kwa uhakika kabisa then unataka watu wajadiri. Tukisema uoneshe ni kwa namna gani hiyo frame ilifanyika unapata kigugumizi. Kwa nini usiache mahakama ifanye kazi yake.
  3. nygax

    Wananchi wawashambulia wabunge kufuatia adhabu kwa Askofu Gwajima na Silaa

    Mkuu sikubaliani na wewe ktk hoja zako tatu hapo juu. Wanaopinga chanjo ya corona wanao uelewa wa kutosha tu kuhusu masuala ya serikali na bunge. Tunafahamu kwamba kwamba wabunge ni wawakilishi wa wananchi na kwa hivyo ni vyema wakaangalia changamoto/mawazo yao na kuipelekea serikali kupitia...
  4. nygax

    Tundu Lissu njoo uokoe jahazi, kila pingamizi linakwama

    Inaonekana kila anayeingia madarakani ni mtesi wake.
  5. nygax

    Mbunge: Mimi niko bungeni muda mrefu lakini nakaa viti vya nyuma askofu Gwajima kaja juzi tu kapewa kiti cha kuangaliana na Spika!

    Nini mantiki ya kukaa mbele ama nyuma bungeni? Wanaojua wanifundishe na mjmi.
  6. nygax

    Hongera sana Gwajima, kwa hoja umeishinda kamati ila kwa nguvu wamekushinda

    mkuu ungeweka matokeo tuyajadiri. Umefura sana kwa hasira.
  7. nygax

    Kumvisha Rais Life Jacket inayobana kiasi hiki sio sawa

    Probability ya watu wembamba kuzama huwa ni kubwa ukilinganisha na wenye miili mikubwa so life jackets kubwa sana huwa hazipatikani... .. Haaahaa!! Utani tu mkuu.
  8. nygax

    Suala la Hamza Mohammed, Wapinzani mnajiaibisha sana mbele ya umma

    Kama chadema wakichukua nchi policcm watabadirika kuwa polischadema au watafukuzwa wote?
  9. nygax

    Madhara ya Utawala wa Awamu ya Tano yameanza kulitafuna taifa; Nani wa kulaumiwa?

    Mkuu haujaandika vizuri. Unasema kwa mfano hizi tozo ni matunda ya awamu ya tano lakini haujaonesha ni kwa namna gani. Unasema yule aliyeuwa polisi juzi ni matunda ya awamu ya tano lakini haujasema kilichomsukuma akafanya hivyo.. Kitu pekee ulichoeleweka ni wewe kuwa na uhasama na hayati jpm.
  10. nygax

    Mahakama ya haki ya Afrika: Wagombea huru ruksa nchini Tanzania

    Alifungua mtikila lakini hakuwa ametumwa na wananchi. Kwa hiyo hiyo ilikuwa yake binafsi.
  11. nygax

    #COVID19 Serikali na siasa za Corona, yanayosemwa sio yanayofanyika

    Mkuu vipi tena? lengo si lilikuwa kuungana tu na 'wenzetu' na kuitangazia dunia tu kwamba na sisi tunae uviko ili twende sawa.
  12. nygax

    Chonde Chonde wafuatao ni Finland, Norway na Sweden

    Kama unayosema wewe ni ya kweli basi sababu za kujitoa kwao zilikuwa za uongo na kama sababu walizosema ni za kweli basi wewe hukuchimba vya kutosha kuhusu hili sakata.
  13. nygax

    Mahakama ya haki ya Afrika: Wagombea huru ruksa nchini Tanzania

    Labda hayo ni maoni tu ya hiyo mahakama, vinginevyo hilo ni jambo la kikatiba na mabadiriko yake yatatokana na uhitaji wa wananchi.
Back
Top Bottom