Recent content by Nyeusi

  1. N

    JamiiForums Tanzania msaada jaman

    Hiki chuo kipo bwana lakin contact zao ndo zinakuwa shida
  2. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya mahubiri.

    lalala!!!. We mama huna adabu........
  3. N

    JamiiForums Tanzania msaada jaman

    jamani ndugu zangu naomba mtu mwenye contact ya chuo cha ustawi wa jamii cha DSM anisaidie maana nimeangaika kwenye google bila mafanikio.nakama unajua qualification zao pamoja na muda wa maombi nijulishe.Asanteni.
  4. N

  5. N

    JamiiForums Tanzania msaada jamani kwa hili

    jamani ndugu zangu naomba mtu mwenye contact ya chuo cha ustawi wa jamii cha DSM anisaidie maana nimeangaika kwenye google bila mafanikio.nakama unajua qualification zao pamoja na muda wa maombi nijulishe.Asanteni.
  6. N

    JamiiForums Tanzania huyu Zainab issa

    Ongera yako we ambay huna matatizo na mwelewa.
  7. N

    JamiiForums Tanzania huyu Zainab issa

    Cku hizi vinachukuliwa vilivyoundwa ila ngoja nifanye mishe uone nilivyo borntown kitambo
  8. N

    JamiiForums Tanzania huyu Zainab issa

    Unanifanya nifurahi cos kusukuma mkokoten na kumtaka huyo mdada kama havihusihana.mi ndo niger bwana nikimtaka demu cmkosi.nikimkosa ana UKIMWI.Ngoja nipate contact uone
  9. N

    JamiiForums Tanzania huyu Zainab issa

    Ehe mkubwa ka ring nishakaona kitambo ila cunajua wengine huvaa hata bila ya kuwekwa ndani
  10. N

    JamiiForums Tanzania huyu Zainab issa

    huyo mtoto anarun kipind cha mahanjumat ch.10 waungwana huyu mtoto ananimaliza mbaya.hivi kaolewa au bado.mwenye contact zake anitoe asee yani alivyo tu mi hoi!!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kizuri kupita vyote katika maisha ya mwanadamu?

    kitu cha mwanamke kilichonifanywa nifukuzwe edeni ila bado nikikipata najisikia niko heaven.hicho ndo kitamu
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mkulima na vyura

    mh! Jamaa we ni noma nimestukia nacheka kama mtoto mdogo.maana mh...haya bwana
Back
Top Bottom