msaada jaman | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada jaman

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Nyeusi, Feb 22, 2012.

 1. N

  Nyeusi Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani ndugu zangu naomba mtu mwenye contact ya chuo cha ustawi wa jamii cha DSM anisaidie maana nimeangaika kwenye google bila mafanikio.nakama unajua qualification zao pamoja na muda wa maombi nijulishe.Asanteni.
   
 2. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mbona kwa celebrities?
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,203
  Likes Received: 1,601
  Trophy Points: 280
  Ni chuo cha macelebriti. Kwani wewe sio mmoja wetu?
   
 4. M

  MANAKE MKARI Senior Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Chuo cha ajabu kabisa. Hakina website mkuu tangu mwaka jana. Sijui wanawaza nini kwa karne hii chuo hakina website!
   
 5. Mabwepande

  Mabwepande JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jukwaa sio lenyewe, peleka kwenye elimu..Napita tu.
   
 6. jacjaz

  jacjaz JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Jamani,upo Dar au nje ya Dar? Km upo ndani ya Dar tafuta muda uende chuoni ukaulizie kila kitu au tuma mtu akakufanyie hyo kazi na sio kila kitu kwenye mitandao!
   
Loading...