Recent content by Nyeusi T

  1. N

    Jaji Lewis Makame afariki Dunia katika Hospital ya AMI Trauma Center, Masaki - Dar

    Wadau nani anaweza kutujuza juu ya tetesi kuwa Jaji Makame amefariki Dunia maana habari zinaenea kama upepo je kuna ukweli juu ya hili? alilazwa mwezi uliopita habari za kupata nafuu sijaziskia je nikweli ama wanazusha wameamua
  2. N

    Rais Jakaya Kikwete, ameitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu kitakachofanyika Dodoma

    Nilichogundua humu watu wanakurupuka tuu ilimradi waonekane wanajua kila kitu..................... Hata Watu 2 tuu wanadhamani sana kwenye kuunda katiba sema CCM ndowanaisi kuwa wao nikila kitu. haya bakini nayo hiyooo #BUNGELAKATIBA mmeachiwa. :fencing:
  3. N

    Prof. Kapuya atishia kuishitaki JamiiForums...

    Wala usihofu kapuya ameshaona tu hatakujiu muda sio mrefu
  4. N

    My Apologies To Mh. Kapuya Na Wengine Wote We Should Follow The Apology Avenue: We Were Wrong!!

    Kapuya ni mbakaji mzoefu amkumbuki alivyo mbambiaga demu bichi utadhani hana mke, si kiongozi ama hana familia huyu kiongozi hodari wa ccm...kapuya aadhibiwe...
  5. N

    My Apologies To Mh. Kapuya Na Wengine Wote We Should Follow The Apology Avenue: We Were Wrong!!

    Huyu mzee ni muhuni tangu kitambo.... yeye na familia yake wote awaeleweki hii ni laana ya wale watoto waliokufa kwenye club yake huko Tabora make wameua watu sana huyo binti kupona nimuujiza wa kumuumbua KAPUYA..... MZEE WA WAJUKUU
  6. N

    Vijana 11 wakamatwa Mtwara wakiwa na Silaha za Kivita na CD za Al-Shabaab!

    Hapo hakuna Mungu wandugu ni siasa yenye mgongo wa dini. Mwenye imani saf na dini yake hafanyi haya ndio maana ukaitwa ugaidi na sio udini
  7. N

    Vijana 11 wakamatwa Mtwara wakiwa na Silaha za Kivita na CD za Al-Shabaab!

    Gesi inahusiana nini na Alishabab wanatumia udhaifu wenu kuwa pandikiza chuki ambayo hamjui mwanzo wake ila mwisho ni nyie kufa kama kuku wa mdondo
  8. N

    Vijana 11 wakamatwa Mtwara wakiwa na Silaha za Kivita na CD za Al-Shabaab!

    Sasa ndugu hii hoja yako inaingiliana vipi na yahao vijana walikamatwa huko Mtwara... acha kupoteza mada au wewe ndio mfadhili. Siasa pembeni kwanza slaa ninani kama wakiuwawa watu 10. au wewe uoni kosa hapo....kama hujui kilichotokea mtwara basi soma wengine wana sema nini
  9. N

    Ivona Kamntu - Mtangazaji anayemiliki vyema kamera

    Kama wewe ni mwana mke basi alikuzidi kete na akakupora meni na kama wewe ni mwanaume basi ka kumwaga coz umetoka nje ya point au ndo wale wasio weza kumudu mambo wanapo kuwa mahali popote. JIPANGE WEWE ACHA BIFU
  10. N

    Kigwangallah: Nimepewa majina wabunge dawa za kulevya, Wamo CCM na CHADEMA

    Wewe unaogopa nini wakati wananzisha na kumaliza wao hivyo wanajijua tena CCM ndio mapapa wa hili swala na hapa wanatafuta habari mpya kuzima sooo wote mmo mateja wenu wa pale kino mnao waambia kuonja unga wanafunguka mbona na lile dampo la kufundisha mapunda pia linajulikana ipo siku mambo...
  11. N

    Kigwangallah: Nimepewa majina wabunge dawa za kulevya, Wamo CCM na CHADEMA

    Ukifuatilia na yeye yumo kwenye majina hayo so anafanya diffence ... nani atataj bila ushahidi na ushahidi utakamilika lini bunge la mwisho kwa alafu uchaguzi ama lini...... ningependa kusikia kama kuna hoja binafsi unataka kuwasilisha hapo mjengoni tena hoja yenye mashiko.... biashara mnafanya...
  12. N

    Je, EAC inaweza kumudu bila Tanzania?

    Uwezo wa Tanzania kumudu bila EAC nimkubwa tu, tukumbuke miaka ambayo EAC ilivunjwa tanzania nchi hizi zilikuwaje? kwa suala la kuwa na ardhi ya akiba yaweza kuwa faida au yaweza kuwa chanzo cha migogoro kwa nchi wananchama na ndio maana wanatama movement ziongezeke kwa kasi na ukumbuke tanzania...
  13. N

    Episode ya Unga: Msanii Diamond apokonywa Passport, Masanja Mkandamizaji ndani

    HE .... DIAMOND mwenyewe namuona ndani ya kipindi HOTMIX cha EATV NOW LIVE .... ingieni kwenye face book page ya EATV mumtwange maswali basi tujue kweli kanyang'anywa hayo ma passport wadau ni www.eastafricatelevision/eatv.tv
  14. N

    Connect Dots: Jambo Leo Liliandika "Maisha ya Mwakyembe Hatarini"... Pinto aliwasindikiza Airport!

    Nafrahi wahusika wanapo funguka nakutupa ukweli wa mambo hata tulio gizani tunafunguliwa mwanga ......... Wacha waharibu maisha ya vijana ipo siku yao yaja nawao watalia
Back
Top Bottom