Recent content by nyereu1

  1. N

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wapenzi na tunaomiliki Toyota Corolla Rumion

    Kilicho towesha verosa na opa ni ulaji wa mafuta.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu alishawahi kumiliki Mini Cooper?

    Ulaya gari inatumika tangu 2003 mpaka leo. Ukinunua isipo kaa zaidi ya miaka kumi kwenye mikono yako una matatizo
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu alishawahi kumiliki Mini Cooper?

    Msiogope kumiliki mini cooper. Spear parts zipo za kumwaga
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu alishawahi kumiliki Mini Cooper?

    Aachane na cooper?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu alishawahi kumiliki Mini Cooper?

    Kuna yard iko arusha inauza mini cooper tuu. Niliitembelea hakuna spear ya cooper hawana. Spear aina zote za cooper wanazo
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa BMW Shikamooni

    Ilinitokea nikabadilisha engine oil ikapotea
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa BMW Shikamooni

    Inaweza ikawa ilipelekwa kwa fundi waya wa toyota au nissan
  8. N

    JamiiForums Tanzania Msinunue Namba za magari badala ya Gari lenyewe

    Haha ahsante broo yaani ndo nilikuwa naelekea huko. Manake bei zao rahisi kweli. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. N

    JamiiForums Tanzania Msinunue Namba za magari badala ya Gari lenyewe

    Japo ni asilimia kidogo sana kuagiza gari alafu ukute ni kimeo. Mara nyingi huwa nzima sana Sent using Jamii Forums mobile app
  10. N

    JamiiForums Tanzania Msinunue Namba za magari badala ya Gari lenyewe

    Haha haha mara imetafutwa namba B iliyochoka ikawekwa plate namba DS iliyopata ajali Sent using Jamii Forums mobile app
  11. N

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Nataka niweke 1nz kwenye opa itakaa? Kichuguu, Sent using Jamii Forums mobile app
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kuishi na mwanamke mjamzito ni zaidi ya gereza

    Cha kushangaza mimba zinakataaga na kuchagua vitu na mazingira ila hazichagui ela na hazikatai ela Sent using Jamii Forums mobile app
  13. N

    JamiiForums Tanzania Suzuki swift driving shaft

    Jamani kuna kitu kinapiga kelele nikikata kuna naombeni kujua hiyo drive shaft inauzwa shilingi ngapi kulingana na maelezo ya fundi wangu kaniambia ndo imekufa
  14. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kununua

    Naitaji gari Toyota made isizidi cc1300 bajeti m 4 Whatsup only 0759623402
Back
Top Bottom