Recent content by NyepesiNyepesi

  1. N

    Sakata la Vicky Kamata limenikumbusha mbali sana... Malipo hapa hapa duniani kwa kweli!

    Acha kutapatapa jisanja baada ya kuona hakuna mtu anayekuunga mkono kwa huu upuuzi ulioufanya hapa. Kama kweli ulikuwa umeicopy sehemu mbona hukutoa tahadhari tangu awali kwamba umeicopy mahali? Kwa jinsi ulivyoiweka ni kama vile wewe ndiye mhusika mwenyewe labda sasa baada ya kuona umekosa...
  2. N

    Sakata la Vicky Kamata limenikumbusha mbali sana... Malipo hapa hapa duniani kwa kweli!

    Yaani wewe ni bwegge sana sijui mwanaume gani unakuwa jingga kiasi hiki. Mambo yako binafsi uliyofanya na Vick Kamata unatuletea sisi hapa ili iweje kama sio kuonyesha ulivyokuwa na akili fupi? Kama mlikuwa mnapena starehe zenu huku ukiwa umeoa hata hukuona aibu ya kumsaliti mkeo na badala yake...
  3. N

    Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

    Ngoja nisepe hapa sipawezi, hadi wa kuchekeshwa kaanza kukasirika tena? karibu mmu.
  4. N

    Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

    Kaka/Dada mdondoaji, Mimi siko hapa kuutetea utakatifu wa Nyerere ama kuukata.Kwani umeniulizamsimamo wangu kuhusu Nyerere? au unataka kuwa msemaji wangu bila idhini yangu? Swali kaulizwa chogo, kama ulikuwa na jibu ungejibu, kwanini uongeze swali juu ya swali? Ima nimekumbuka, watanzania...
  5. N

    Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

    Kadri nilivyosoma posts zenu nyingi, nilimuona mtu mmoja tu ndo anachekeshwa, sasa naona na wewe umeanza kuchekeshwa na mmekuwa wawili. Hali hii ya kuchekeshwa ikiendelea mjadala wote utaishia kuwa kichekesho.
  6. N

    Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

    Kwani wewe ndiye chogo matata? au ni msemaji wake?
  7. N

    <ooo> MMU: Kundi la Waliovunjika Mioyo Au Washauri?

    "HUWEZI KUJUA KWA KUANGALIA!!!!!!!" Naruhusiwa ku-touch??
  8. N

    <ooo> MMU: Kundi la Waliovunjika Mioyo Au Washauri?

    Mtu wangu nashukuru kwa kunisaidia kusema la moyoni. Hizo bilinganya hizo!!??
  9. N

    Mama Shelukindo kaamua kumwaga mboga na ugali

    Aiseee, Kweli kabisa, ni hasira za mumewe kushindwa uchaguzi. Serikali ya JK ilipofikia huitaji kutafuta mchawi, inajifia yenyewe wala huyu mama hana cha kupata wala kupoteza.
  10. N

    Mama Shelukindo kaamua kumwaga mboga na ugali

    Mkuu hapo amepigwa two in one, yani baba na mwana!!
  11. N

    Mikael P Aweda aanza kuivuruga CHADEMA

    Na chadema isipokuwa makini na huyu bwana kuna hatari ya kuvuruga mshikamano uliopo ukonga, anajisifia vijisenti alivyonavyo, tukimuacha aendelee hivi mbele ya safari anaweza kutudai ama kukifisadi chama ili kuzirudisha. Kama ulivyomshauri ni bora apige mahesabu tumrudishie mapema kuliko...
  12. N

    Mikael P Aweda aanza kuivuruga CHADEMA

    Aweda acha kujifurahisha na kufurahisha forum, Wewe si mwanasiasa makini kama unavyotaka kuwaaminisha watu. Bado nakusanya taarifa zako jinsi unavyokiuka kanuni na taratibu za kuendesha chama jimboni ukonga, na zikishakamilika nitarudi hapa hapa kuwaeleza watanzania hususan wapenzi na...
  13. N

    Mikael P Aweda aanza kuivuruga CHADEMA

    Kama wabunge wote wangetafakari kwa style wa wassira hilo bunge lingefanyaje kazi zake?
  14. N

    Mikael P Aweda aanza kuivuruga CHADEMA

    Naona mzee wassira amekupa msemo, wacha niwe kama gazeti la mwananchi!!!
  15. N

    Mikael P Aweda aanza kuivuruga CHADEMA

    Mkuu ni vyema ukaonyesha hekima yako.
Back
Top Bottom