Recent content by Nyenyere

  1. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Trump ametumia saa mbili tu kukifanya kitu kilichomshinda Putin kwa miaka 3

    Ukitumia sehemu ndogo tu ya ubongo wako utagundua kwamba Putin snapambana na Ulaya na Marekani, hakuna mfanano wowote kati ya vita vya Ukraine na maigizo ya Marekani na Venezuela.
  2. Nyenyere

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwezi wa Nne mchumba ananinyima unyumba wakuu nifanyaje?

    Fungeni ndoa
  3. Nyenyere

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkiambiwa kuwa hawa Wanawake tuwapende tu ili tusimkwaze Mwenyezi Mungu, ila siyo Watu wazuri kabisa muwe mnaelewa sawa?

    Mnaoa wake kwa kufuata utashi wenu badala ya mwongozo wa Mwenyezi Mungu, yakiwashinda mnamlaumu Mungu!!?
  4. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Msaidizi (Paraclete) ni mtu mwingine na si Roho Mtakatifu Yesu aliwaambia wanafunzi wake

    Hizini hoja mfu zinazolenga kuleta usumbufu tu. Jaribu kutafuta hoja zenye mashiko zinazoweza kuamsha mijadala yenye upeo mzuri. Yohana 14 (Biblia Takatifu) ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯ ¹⁶ Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele; ¹⁷ ndiye Roho wa kweli; ambaye ulimwengu...
  5. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Msaidizi (Paraclete) ni mtu mwingine na si Roho Mtakatifu Yesu aliwaambia wanafunzi wake

    Wala sioni hoja kuntu, soma tena utaelewa.
  6. Nyenyere

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tafakari sana ni nani wa kumweleza Siri za nyumbani/chumbani mwako

    Jambo lolote ni siri pale tu linapokuwa moyoni mwako. Ukimweleza mtu wa pili sio siri tena, utategemea huyo mtu akuhifadhi. Siri ni ile tu ambayo wewe binafsi una udhibiti nayo, sio kutegemea mtu mwingine akufichie.
  7. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Niwaombe watu wa dini wakae mbali na siasa za Afrika

    Kwani huu mfumo wa kisiasa uliopo ulianza na kina chifu Mkwawa? Huoni kuwa asili yake ni hao hao wakoloni? Elimu, afya, sayansi na teknolojia vilianzishwa na Mwanamalundi? Hoja ya uwepo wa Mungu imeletwa na wakoloni, lakini pia hoja kwamba hakuna Mungu imeanza na hao hao. Kwa hiyo ni kutofikiri...
  8. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Kisheria juu ya Hati ya Mashtaka ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu

    Waliojitoa ufahamu ni mawakili was serikali kwa kutoyaweka hayo makosa yanayotokana na hizo kauli.
  9. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Je Mtume Muhammad (S.A.W) ametajwa katika Biblia kwa namna yoyote ile?

    Biblia imejitosheleza. Badala ya Muhamad imemtaja Allah kama shetani
  10. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wazee wa Simba watua kwa Mkapa, hatumtaki meneja wa uwanja

    Hawa makolo ni vigagula promax. Tayari ukweli umebainika. Wakiwa pembeni wanatamba mwarabu hana timu ya kuwazuia, lakini ona sasa, wanalilia kuruhusiwa wakaloge. Hali inaonekana ni mbaya hadi wameamua kujianika wazi wazi.
  11. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Kama 95% Hamasa + 5%Ufundi wa Uwanjani = Kuvuka Nusu Fainali ya CAFCC Keshokutwa sawa na niwatakieni Kila la Kheri

    Ushindi wa makolo umebebwa na meneja wa uwanja kwa mujibu wa vigagula wao. Watu wafupi wanalilia kuingia uwanjani wakachimbie ulozi.
  12. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Kama Uislam/Quran na Ukristo/Biblia vingekuwa vya thamani wazungu na waarabu wasingevileta kwa Waafrika na wangeenda wao mbinguni kwanza

    jibu swal8, hoja yako inaonyesha upeo mdogo ulionao. Hujui kwamba hata hii elimu kidogo uliyonayo imeletwa na hao unaowadharau?
  13. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wazee wa Simba watua kwa Mkapa, hatumtaki meneja wa uwanja

    Huyu ni meneja bora kwa mwaka huu.
Back
Top Bottom