Recent content by nyengo nzugi

  1. nyengo nzugi

    CHADEMA imelinda heshima ya Sosopi

    Na si muongo tu bali ni juha kabisa wabunge wa Ccm ndiyo wanoishi dar hiyo ni toka zamani mpaka sasa ndiyo maana hata nyumba tu hawana hapa Iringa tofauti na Msigwa hajawahi ishi dar kama ambavyo wamekudanganya waliokwambia
  2. nyengo nzugi

    CHADEMA imelinda heshima ya Sosopi

    Hayo mkazungumzie huko kwenu maamuzi yaliyofanywa yamezingatia mambo Mengi sana kwa akili yako ndogo huwezi kujua
  3. nyengo nzugi

    CHADEMA imelinda heshima ya Sosopi

    Katiba ya nchi inavunjwa mbona huko mpo kimya ila hili la chadema mnashupalia kama mnapimwa tezi dume fanyeni yenu nyie
  4. nyengo nzugi

    Mbowe aenda na jina la Msigwa mfukoni, Olle Sosopi atemwa

    Kama kweli mbowe kaenda na jina la Msigwa mfukoni mie naona kufanya poa sana kwa kuwa angeshinda Sosopi mngesema si mnaona tuliwaambia chama cha watu wa kaskazini hiki maana nyie magamba akilizenu mbovu sana naona huwa mnatumia makamasi badala ya ubongo kufikili
  5. nyengo nzugi

    Mbowe aenda na jina la Msigwa mfukoni, Olle Sosopi atemwa

    Afadhali kufa masikini kuliko kushabikia Ccm huo ni ujuha uliopitiliza
  6. nyengo nzugi

    Tundu Lissu ahojiwa kwa kumwita Rais Magufuli "Mtakatifu". Aachiwa...

    Halafu anajiita kada wa chadema??
  7. nyengo nzugi

    Vijana wazalendo kutembea kwa miguu kutoka Dar hadi Dodoma kumuunga mkono Rais Magufuli

    Umenifurahisha sana ulipo Sema anapambana na mafisadi ikiwa leo hii lile gazeti la Lumumba limesema mahakama ya kushugulikia mafisadi haifanyi kazi sababu mafisadi hakuna sasa hoa mafisadi mmepambana nao wapi???
  8. nyengo nzugi

    Asante Majizo na TV E

    IPO hata kwenye Azam nimeiona
  9. nyengo nzugi

    Maandamano makubwa kumshinikiza Gavana Ndulu aachie ngazi BOT

    Mnaandamana kumuondoa beno nduru? Ubongo wako naona upo karibu na sehemu ya haja kubwa
  10. nyengo nzugi

    Wazo la kuanzisha Ben Saanane Trust Fund (BSTF)

    Mtu anauliza kama mtoto mawazo zile ahadi za kusomeshwa zimetekelezwa kwani alishakuja kukuomba ada? Mbona huulizi zile million 50 kama zishafika huko mitaani?
  11. nyengo nzugi

    Wazo la kuanzisha Ben Saanane Trust Fund (BSTF)

    We kama unaona halikuhusu kaa pembeni tunaojitambua tutamtafuta tu.kama unaona kajificha basi katuoneshe ili tujue ni mzima au la!!
  12. nyengo nzugi

    Fahamu upande wa pili wa Dangote

    Kuna kipindi nikasikia dangote amesimamisha uzarishaji kwa muda sababu ya matengenezo Baadae tena nikasikia anataka gasi bure tena nikasikia ananunua makaa ya mawe toka south Africa wakati sisi hapa tz tunayo. Sasa hivi tena nasikia porojo nyingine hapa sijui halipi vizuri? Kesho tutasikia...
  13. nyengo nzugi

    Jibu hesabu yangu, wengi mtafeli hapo

    Hapo ipo hivi 4×4=16+4=20 5×5=25+5=30 6×6=36+6=42 7×7=49+7=56 8×8=64+8=72 9×9=81+9=90
  14. nyengo nzugi

    Kwa Chaguzi zinazoendelea barani Afrika, ni kweli CCM haina maisha marefu

    Ni kweli aisee wanavijiji wa tz akili zao wanazijua wenyewe za darasani wameshindwa hata za kujiongeza tu nazo shida?
  15. nyengo nzugi

    Mkapa: Kuhoji uhalali wa Rais Pierre Nkuruzinza ni wehu

    HahahHaha bamia inaharibikia ukubwani
Back
Top Bottom