Recent content by nyemombogoni

  1. nyemombogoni

    JamiiForums Tanzania kitu gani kimeshusha brand ya vyuo na kozi za kilimo, watu wengi huenda kama mbadala baada ya kukosa nafasi kwengine.

    Binafsi natamani sana ningesoma hata Diploma mchanganyiko tu ya Kilimo/mifugo ili nikomae na mambo ya shamba maana ninachoamini na kukiona ni kwamba shambani kuna mchongo wa maana sana ila watu wana underate ila ukitaka kutoka kwasasa mchongo ni shambani
  2. nyemombogoni

    JamiiForums Tanzania Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2024/25

    Kozi nzuri za kusoma ni zile ambazo Kwanza zitamuwezesha mtu kujiajiri na kuajiriwa na pia anaweza ku- practice maisha yake yote na kumpatia cash flow mfano Kilimo/mifugo, ufamasia, udaktari, maabara
  3. nyemombogoni

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kuna mikopo inaitwa 'Niwezesha na Samia 2025' inatolewa kwa wajasiriamali

    TAMISEMI hawana email ya "Hotmail" wala Mawasiliano ya "WhatsApp"
  4. nyemombogoni

    JamiiForums Tanzania Takribani wanafunzi 1,129 wame-disco UDSM na wengine zaidi ya 7,000 wanatakiwa kurudia mitihani yao

    sasa hivi watoto wanacheza sana na shule hawako serious kabisa full kujirusha tu, hapa haijalishi wamefeli wangapi au wamekamatwa wangapi cha msingi wapite wenye kufuata kilichowapeleka shule hata akifaulu mmoja saws tu, nenda SUA pale kuna kozi inaitwa BVM uliza wanaingiaga wangapi na wanaotoka...
  5. nyemombogoni

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Dodoma mji umemshinda kweupe

    duh! ina maana hujui hata mkoa ni nini!!!?? kwani Dar ni wilaya au kata!!?
  6. nyemombogoni

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Dodoma mji umemshinda kweupe

    huyu jamaa aliyeanzisha huu uzi lazima atakuwa mpiga debe, maana hata hujui nani alifanya maamuzi kujenga eneo la reli, kama hujui vitu uliza kwanza kujenga hata matundu ya vyoo ni lazima kuwe na bajeti na bajeti hiyo wanaopitisha ni wenye council ambao ni madiwani. halafu unakuja na hoja...
  7. nyemombogoni

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya enzi hizo katika picha

    Hii picha siyo ya siku nyingi sana proof yake zoom utaona brand za magari ya siku za karibuni Sent using Jamii Forums mobile app
  8. nyemombogoni

    JamiiForums Tanzania Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Kwani kila kinachoandikwa kwenye magazeti lazima kiwe cha kweli!!?
  9. nyemombogoni

    JamiiForums Tanzania Audio: Americans Describes Kikwete As A Tyrant, 93.1 WIBC USA interview with Dr. Slaa

    Nimeipenda na ulichosema ni ukweli
  10. nyemombogoni

    JamiiForums Tanzania Nina supp diploma na jina limo ajira mpya, nikaripoti?

    tatizo lililopo katika kada za ualimu, afya, kilimo na mifugo ni kwamba wizara husika huwa zinawapanga bila ya kuwafanyia usaili wowote kwani wangefanyiwa usaili ingebidi wawasilishe vyeti lakini hawafanyi hivyo bali wanachukua tu list ya watu waliomaliza na kuwapangia vituo bila kujua wengine...
  11. nyemombogoni

    JamiiForums Tanzania Nina supp diploma na jina limo ajira mpya, nikaripoti?

    Utaratibu wa ajira serikalini unapoenda kuripoti ni lazima uwe na original certificates kuanzia cheti cha kuzaliwa, cheti cha form four na cha diploma yako pia tatizo ni kwamba hata ukiripoti kitendo cha kutokuwa na moja ya nilivyovitaja huwezi kuingia kwenye payroll ya serikali
Back
Top Bottom