Mkurugenzi Dodoma mji umemshinda kweupe

Mkurugenzi Dodoma mji umemshinda kweupe

tena siku hizi band za mziki zimerusiwa kupiga kwenye grosal za mitaani mpaka saa nane usiku watoto wetu hawapati muda wa kujisomea
 
Huyu jamaa ni fala sana upuuzi mwingine aliokuja nao,anataka kila nyumba Dom,paa/bati lake lipakwe rangi,ili mji upendeze,
Mijitu mingine sijuhi imesomea wapi,anavyootacusiku,anatuleta kama mipango ya manispaa,

kwa hili namsapoti tena ningekuwa mimi ningeongeza kila nyumba iwe na taa za chubilight tatu mbele ili mji mzima uwe na mwanga giza likiingia
 
Hivi Dar mpaka Dom unachukua masaa mangapi kwa basi?
 
Huyu jamaa ni fala sana upuuzi mwingine aliokuja nao,anataka kila nyumba Dom,paa/bati lake lipakwe rangi,ili mji upendeze,
Mijitu mingine sijuhi imesomea wapi,anavyootacusiku,anatuleta kama mipango ya manispaa,
Hapo itabidi awagawie makopo ya rangi na awalipe mafundi gharama za kupaka rangi mabati.

Sasa wenye vigae vyao expensive sijui watakubali kuvichafua?
 
Mkurugenzi wa manispaa ya Dodoma mji umekushinda mkuu. Naomba kuonesha interest mimi ni mdau wa usafirishaji.

Tuanze na ishu ya stendi kuu ya mabasi ya kwenda mikoani, mh. Rais huyu mkurugenzi ndugu kunambi toka umetuletea Dodoma alianza mgogoro na shirika la reli ambao ndio wamiliki wa eneo ilipojengwa stendi, lakini kutokana na ukilitimba wa huyu mkurugenzi kunambi amesababisha mahusiano ya TRL na manispaa kuvunjika na hivo TRL kudai eneo lao na hivo kupelekea kuvunja stendi na baadhi ya biashara zilizokua zimezunguka eneo hilo.

Pili, mkurugenzi huyo huyo ameisababishia serikali hasara kubwa kutokana na kujenga ukuta na jengo la maofisi stendi hapo ambalo leo hii ni useless kutokana TRL kuchukua eneo lao.

Tatu, mkurugenzi huyu huyu anayejiita magufuli mdogo kutokana na kuaminika kuwa na uhusiano mzuri na Rais amesababisha hasara kwa kuvunja bar ya chako ni chako kimakosa na sasa serikali inalazimika kulipa fidia.

Nne, mkurugenzi huyu alikataza mabasi ya mikoani kutokupakia abiria katika stendi binafsi hisipokua stendi mpya ya nane nane, lakini katika kampuni zoteee kampuni ya mabasi ya mbunge wa gairo ndugu SHABIBY mabasi yake yanapakia abiria mjini na hakuna mamlaka inayomgusa wala kunambi kuongelea swala hilo. Je kuna nini kati ya shabiby na mkurugenzi...?

Tano, kunambi anajitapa kwa kusema hata RC wala DC hawana uwezo kama aliokua nao kutokana na kujuana na Rais.

Sita, serikali ilirekebisha viwanja vya mashujaa pale mjini kwa gharama hili maadhimisho ya siku ya mashujaa yawe yanafanyikia hapo, leo hii pamefungwa kutokana na eneo kuwa chini ya railway.

Saba, stendi anayosema mpya hiyo ya nane nane hakuna hata jengo la abiria hata la kujengwa kwa makuti tu, choo ni shidaa, hakuna umeme na analazimisha mabasi yalale hapo, hakuna maji..

Nane, mhe. Rais najua umeenda Dodoma jana nimepishana na wewe ihumwa naomba ukiwa unaenda mjini ingia hapo nane nane usikie kero kuliko huyu mkurugenzi hawe anakuletea report iliyopikwa.

Mh. Rais kama unapitia JF au watu wako wa karibu naomba uangalie mwenendo wa mkurugenzi huyu maana kuna tetesi za wenye mabasi kufanya mgomo soon na huyu mkurugenzi hana nia yakuingilia kati.View attachment 753993View attachment 753994
huyu jamaa aliyeanzisha huu uzi lazima atakuwa mpiga debe, maana hata hujui nani alifanya maamuzi kujenga eneo la reli, kama hujui vitu uliza kwanza kujenga hata matundu ya vyoo ni lazima kuwe na bajeti na bajeti hiyo wanaopitisha ni wenye council ambao ni madiwani. halafu unakuja na hoja nyingine eti nane nane mbali hv hujui hata Dar stendi ilikuwa mnazi mmoja and later on wakahamia eneo la UDA (ubungo), kichekesho kingine eti mwenye chako ni chako anatakiwa kulipwa!!!!??? nani kakumezesha tango mzee!!? kwa taarifa yako chako ni chako waliomba kibali cha kubadilisha paa kwamba limechoka kwa ujuaji wake akaanza kubomoa na kubadilisha structure, sasa ulitaka watu wafanyeje?? wamuache afanye anavyotaka!!??, ni vema uwe unauliza kwanza na kupata data ndo uje uandike humu
 
Poleni wana Dodoma.
Stand 8/8 si mbaya ila ingekua powa kama miundombinu ingeshawekwa.
Mji unakua huo,hata 8/8 patakua finyu kama hakuna mipango mizuri.
Wakat stand inawekwa Ubungo Terminal toka Msimbazi na Kisutu watu walinuna ila leo hata Ubungo tunapaoba FINYU
wameturahisishia sisi watu wa KISASA
 
Mkurugenzi wa manispaa ya Dodoma mji umekushinda mkuu. Naomba kuonesha interest mimi ni mdau wa usafirishaji.

Tuanze na ishu ya stendi kuu ya mabasi ya kwenda mikoani, mh. Rais huyu mkurugenzi ndugu kunambi toka umetuletea Dodoma alianza mgogoro na shirika la reli ambao ndio wamiliki wa eneo ilipojengwa stendi, lakini kutokana na ukilitimba wa huyu mkurugenzi kunambi amesababisha mahusiano ya TRL na manispaa kuvunjika na hivo TRL kudai eneo lao na hivo kupelekea kuvunja stendi na baadhi ya biashara zilizokua zimezunguka eneo hilo.

Pili, mkurugenzi huyo huyo ameisababishia serikali hasara kubwa kutokana na kujenga ukuta na jengo la maofisi stendi hapo ambalo leo hii ni useless kutokana TRL kuchukua eneo lao.

Tatu, mkurugenzi huyu huyu anayejiita magufuli mdogo kutokana na kuaminika kuwa na uhusiano mzuri na Rais amesababisha hasara kwa kuvunja bar ya chako ni chako kimakosa na sasa serikali inalazimika kulipa fidia.

Nne, mkurugenzi huyu alikataza mabasi ya mikoani kutokupakia abiria katika stendi binafsi hisipokua stendi mpya ya nane nane, lakini katika kampuni zoteee kampuni ya mabasi ya mbunge wa gairo ndugu SHABIBY mabasi yake yanapakia abiria mjini na hakuna mamlaka inayomgusa wala kunambi kuongelea swala hilo. Je kuna nini kati ya shabiby na mkurugenzi...?

Tano, kunambi anajitapa kwa kusema hata RC wala DC hawana uwezo kama aliokua nao kutokana na kujuana na Rais.

Sita, serikali ilirekebisha viwanja vya mashujaa pale mjini kwa gharama hili maadhimisho ya siku ya mashujaa yawe yanafanyikia hapo, leo hii pamefungwa kutokana na eneo kuwa chini ya railway.

Saba, stendi anayosema mpya hiyo ya nane nane hakuna hata jengo la abiria hata la kujengwa kwa makuti tu, choo ni shidaa, hakuna umeme na analazimisha mabasi yalale hapo, hakuna maji..

Nane, mhe. Rais najua umeenda Dodoma jana nimepishana na wewe ihumwa naomba ukiwa unaenda mjini ingia hapo nane nane usikie kero kuliko huyu mkurugenzi hawe anakuletea report iliyopikwa.

Mh. Rais kama unapitia JF au watu wako wa karibu naomba uangalie mwenendo wa mkurugenzi huyu maana kuna tetesi za wenye mabasi kufanya mgomo soon na huyu mkurugenzi hana nia yakuingilia kati.View attachment 753993View attachment 753994
Punguza Ubibi Harusi
 
Hili ni tatizo kweli huyu bwana mdogo anapaswa kupingwa na Kila mtanzania mwenyeakili timamu

Huwezi kuhamisha miundo mbinu sehemu moja kwenda nyingine hasa ukiangalia na tatizo la uchumi ndani ya mkoa
 
Huyu mkurugenzi ndie yule aliemzibua raia hadharani au? Katika huduma ya mabasi hakuna Wa kuifikia iliyokuwa inaitwa Scandinavian
 
Back
Top Bottom