Chadema wametimiza wajibu wao wakutuonesha wahariri niwatu waaina gani ktk hii nchi, wakati mafanikio ya uwazi ukweli na uwajibikaji duniani kwakiwango kikubwa yanaletwa na waandishi wa habari,wasomi na wafanyakazi hapa kwetu nikinyume chake, hicho wanachokifanya wahariri wanadhihirisha uhalisia...
Kwani hii katiba ya sasa ambayo inatumika kuna watanzania walitoa maoni au walipewa elimu, vyovyote iwavyo wanasiasa ni watu na chama cha siasa niwatu, dini ni imani zawatu na viongozi wadini wanaongoza watu hivyo kama unataka kupeleka elimu au ujumbe kwa wananchi wanapatikana wakiwa na vyama...
Wanachosahau kwamba sasa hivi watu taarifa zote wanapata viganjani hawana muda wakusubiri saa2 hayo ma TV yao watu wanaangalia ottoman katuni nk na kitu pekee wasichojua smart zimeenea sana vijijini kazi wanayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Uisilamu una viongozi wengi wasomi tatizo nimfumo wa upatikanaji wao siku waislamu tukiamua kuutafsili uislamu kuwa ni dini ya haki basi haya malalamiko yataisha,maana hakuna adui wa uisilamu nje ya uislamu,,
Wanafata nini makanisani namisikitini kama hawawajibiki huko? dini niimani zawananchi na serikali niyawananchi bado unadhani haiwajibiki kwao? Umewahi jiuliza kwanini Rais muisilamu anaingia kanisani au Rais mkristo kuingia msikitini? wanaenda kwa wananchi waliompa mamlaka yakuongoza haendi...
Unakuta mtu huyo huyo leo anasema hili kesho ikibainika amedanganya anasema tena uongo kwakubadiri maneno yake mwenyewe na bado mtu huyo kama kiongozi haoni Kama kudanganya nikukosa staha,,
Yupo sahihi nimradi wao ndomana kule bungeni mbunge mmoja akasema asiyeutaka huu mkataba ahame ccm,, kwahiyo huu nimgogoro wa watanzania na ccm maana hii inchi sio yawana ccm niya watanzania, lakini chakujiuliza mbona wameutekeleza huu mradi kinyume na Ilani yao? Chakushangaza wanainukuu ilani...
Jamani spika alisha toa ufafanuzi bungeni kuwa,kwa mujibu wakanuni za bunge wao wanachopaswa kujadiri na kupitisha ni mikataba,naakakazia serikali wanachopaswa kuwapelekea ni mkataba nasio makubariano,naakamaliza kwa kusema kwahiyo tulionao hapa nimkataba.
Kwanini kusiwe na mjadara wa wazi wamajadiriano ya vifungu vinavyolalamikiwa? Tena sisi wenyewe yani watanzania wawe wanasheria nguli wamaswala ya mikataba.
Wala sio wajinga hata kidogo wanajuwa sana watendalo,ndomana waliambizana pale bungeni ataepinga ahame ccm ,nawalishangilia sana bunge zima,, lakini jiulize wewe kazi ya mbunge niipi? nakwanini wabunge wanapingana na wapiga kura wao? Bunge letu lina historia yakuwa upande wa serikali badala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.