Yuko sahihi kabisa, ktk biblia kumeandikwa, "ole wake anayekaa ktk mabaraza ya mizaha", nimesahau kifungu kilipo, anayejua kilipo atuwekee hapa.
Askofu ameona huu ni mzaha, na amewaambia waumini wake wasishiriki mizaha kama huu sababu ni chukizo kwa Mungu. Unajua wazi kwamba kura itaibiwa, na...