Recent content by nyau mdogo

  1. N

    Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

    Chochote kitakachotoke huko dom tunaomba amani. Miaka 50 bila vurugu inawezekana.
  2. N

    Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

    That's gud waambie nchi yetu haina ukabila
  3. N

    CHADEMA sasa yawaadhibu wananchi: NAPE

    jamani tusiweke ukabila, mbona tulikuwa na Rais jasiri na shupavu 'MKAPA'
  4. N

    CHADEMA mambo ya meya wa Arusha inatosha, shughulikieni masuala ya kitaifa sasa

    Hivi umeona umeya wa Arusha na maandamano ndio suluhisho la matatizo ya watanzania. Tunataka maendeleo sio malumbano yasio na tija wala maslahi kwa watnznia
  5. N

    Taarifa maalum ya maandalizi ya maandamano ya kupinga muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    kwa mambo haya hatufiki mbali. Jamani sisi sote ni ndugu, walio tuletea muungano hawakuwa wajinga, think first before u act.
  6. N

    Kama CHADEMA ina wabunge vilaza kama hawa? Hawafai nchi!

    Kazi kwelikweli, cdm, ccm kazeni buti tunataka maendele sio porojo
Back
Top Bottom