Recent content by nyatidume

  1. N

    JamiiForums Tanzania Dhambi 8 za wanaume waliooa!!

    Hahahahahahah"...".. Umenichekesha Ajabu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha: Ukiisaliti CHADEMA utapigwa tu!

    Nimeshangazwa na wanaoshabikia kuvunja sheria. Ndio Imani ya Agano la Kale? Jino kwa Jino? Hebu fikiria Siku mtithibitisha viongozi wa kuu nao ni wasaliti? Mnatutisha wapenda Amani, demokrasia na waheshimuo utu.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Walimu Dodoma kuandamana kesho

    Waalimu wote wa secondari waliosimamia mitihani ya kidato cha pili wamejipanga kuandamana Kesho kuelekea manispaa kwa DED kudai Malipo yao ya kusimamia mitihani. Pamoja na kufanya kazi bila Malipo lakini hata Malipo yalipoanza kutolewa Leo, DED amekata kila mwalimu elfu kumi na elfu ishirini ya...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Songea; Askari polisi awekwa mahabusu akipakaziwa tuhuma za kuifadhili CHADEMA

    Kila jambo lina mwisho. Watasingizia tembo, twiga n.k lakini wakati umefika Taifa hili kukombolewa.
  5. N

    JamiiForums Tanzania JK awakuna viongozi wa dini katiba mpya

    Dini inavyoendelee akutaumika Kama ngazi ya wanasiasa. Katiba Mpya inaweza patikana lakini Kama haitafuata misingi ya uzalendo kwanza, tutafika papaya Kama Taifa. Hawa viongozi wanaweza kujitofautisha vipi na wanasiasa SA Leo?
  6. N

    JamiiForums Tanzania JWTZ wadaiwa kuchoma nyumba 100

    Watanzania pamoja na utendaji mbovu wa baadhi ya viongozi, tukubali kufuata sheria.
Back
Top Bottom