Ni ushauri mzuri ila kuoa mwanamke mwenye mtoto kunachangamoto zake,kama uchumi mzuri hakuna shida.Kwa mfano unaoa mama mwenye mtoto miaka saba mwanzoni huku hakuna shida ila mwishoni unapokuwa mzee ndiyo changamoto na huyo mke kama hana hekimu utapata shida sana,labda huyo mtoto awe wa kike...

Nilifika 2016 kampala ni sehemu nzuri kumechangamka kwa biashara pia wafanya biashara wapo makini,harafu ule mpango wa kariakoo lete hiyo nijalibu bila kununua hawapendi.Kwa yote watu wanaheshimiana,ila kama mpenda starehe watoto wa kumwaga.
Hapo inawezekana kaimu mkurungezi alishauliwa harafu akakata ushauri wa kwamba viti vifunguliwe ili mwili ukae ndan,kosa lake ni kufunga juu ya gari wakati ndani ungewezekana kuingia ndani ya gari.
Pole sana ndugu ila siku moja unafunga safari mpaka hapo kwa bibi na mama na kukaa naye mama muekeze kwa utaratibu,njinsi gani unakosa furaha ya kutoelewa naye.Huyo ni mzazi wako huwezi kumkata ila unakwenda kwa ghafla bila taarifa ili asijipange ila wewe tu bila mke na mtoto kuweka sawa mambo...
Kuna dada mmoja tunajuana muda mrefu akanambie ana jambo anataka kunishirikisha niende ofisini kwao,basi siku nikaenda pale kufika pale napewa maelezo ya Qnet na mtu mwingine pale kama muelimishaji akanambia blabla kibao za Qnet na salam zaó. Muelimishaji ananieleza mambo mazuri tu nikamuuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.