Recent content by nyary

  1. N

    JamiiForums Tanzania Top universities in Tanzania 2018

    Hiv NIT vp wadau mbna hakipo kabsaa
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wizara ya elimu yaja na viwango vipya vya ufaulu kidato cha Nne.

    Aseee fiatiliaa historia yake ni mkali hatal huyu mama
  3. N

    JamiiForums Tanzania Huu mwaka wa 10 sijawahi kuona A ya Geography Advance nashangaa wanaosema Geog ni rahisi kuliko Physics

    Schrödinger unanikumbusha mbali mzee baba
  4. N

    JamiiForums Tanzania Topic gani ulisoma na haujui utaitumiaje hadi leo?

    Logic Gate znatumika sana mkuu hadi kweny computer
  5. N

    JamiiForums Tanzania Maandalizi mazuri ya undergraduate final project

    Kwa mfano telecom bro
  6. N

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Ninakusudia kupeleka hoja ya kumuondoa Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania

    Lakin jarib kureason uchache wa wabunge wa upinzan syo tija coz kuna baaadh ya wabunge wa chama tawala wapo agaist huyo jamaaa
  7. N

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Ninakusudia kupeleka hoja ya kumuondoa Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania

    Then chadema ukizingatia ina wabunge wachache hyo theluth mbil ya kumkataa job ndugai itatokaa wap?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wenye Division III wamepata chuo?

    Mm mdogo wang ana Two ya 12 amekosa Udom nursing bro
  9. N

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Ninakusudia kupeleka hoja ya kumuondoa Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania

    Msigwa kalewa kweli katiba inasema kwamba ili spika akome kuwa spika bunge wa jamuhuri ya mungano wa tz theluth mbili ya wabunge wote wakikubal hoja yake ndo atolewe syo simple kiiivo anavyowaza
  10. N

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Ninakusudia kupeleka hoja ya kumuondoa Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania

    Lakin katiba inasema spika atakoma kuwa spika wa bunge endapo theluth mbili ya wabunge wote wataunga hoja hiyo mkono
Back
Top Bottom