Recent content by nyarandu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ukitongoza mwanamke mrembo usithubutu kumwambia unafanya kazi hizi, atakukataa mchana kweupe

    Mimi nauza genge tu warembo hawaruki acha umburula mtoa post
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kamishna Kova: Tumekamata watuhumiwa wa ujambazi zaidi ya 38 wakiwa na silaha

    Hiyo sheria sijui itakuaje lakini hata takukuru IPO na rushwa IPO tena imezaa na ufisadi nowdays
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuzidiwa nguvu za kivita(kijeshi) na Kenya na Uganda!

    Nimekusikia mama mwaswast mrembo nimemaind jina tu ni hivi mrembo hizi chart kama sijakosea zimepangwa na super power nation mahusiano na kutrade nao ni moja ya fact tu nilizotaja ziko fact nyingi za wazi na za siri Ethiopia huwezi jua mahusiano yao ya siri na wapabgaji hizo chart ok na jua...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Tanzania na huduma za dezo

    Huyu konda mpya wa daladala
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuzidiwa nguvu za kivita(kijeshi) na Kenya na Uganda!

    Rudi hadi miaka ya 70 Uganda ilikua juu sana kijeshi kuliko sisi ila kilichowatokea hadi Leo ni historia hizo chat zisikutishe zinapangwa na wazungu kutegemea umefanya nao biashara kiasi gani au unamahusiano mazuri kiasi gani nao
  6. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi meno ya Tembo yalivyopitishwa JNIA

    OK tayari umeshawachafua wanajeshi wetu afu nahisi were utakua polisi tu unataka wanajeshi watolewe pale muendelee kupiga madeal manake wajeda wanawavurugia sana hawatolewi pale
  7. N

    JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani Lawrence Masha afikishwa Mahakamani, akosa dhamana

    Mahabusi au jela bado hajahukumiwa kifungo na mahakama
  8. N

    JamiiForums Tanzania GE2015 Alichoandika Juma Mwapachu mara tu Sumaye alipotangaza kuhamia UKAWA

    In ujinga kwani wakati anaandika alikua anawaandikia mabritish wazungu au wamakonde thamini chako
  9. N

    JamiiForums Tanzania Rushwa ferry Kigamboni imezidi

    Waziri husika tafadhari shuhurikia hili tatizo vijana wako wamezidi has a wakati wajioni
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini majambazi wa Stakishari hatukuonyeshwa sura?

    Ila hapo kuna mambo mengi nyuma ya pazia ila asiejua maana usimwambie maana
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini majambazi wa Stakishari hatukuonyeshwa sura?

    Uliza kama kuna aliepo hai kati ya hao
  12. N

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Mwaka huu mtashudia ccm inavyopasuka vipande viwili mamvi anaondoka na nusu ya ya mataycoon kuanzisha chama kipya endapo mazungumzo na ukawa yakiferi kumbuka ukawa bado hawajatangaza mgombea wao kinachooendelea Dodoma kinawahusu sana kwa kuanzia kuna gari 60 zimeagizwa na timu mamvi kabla ya...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kuchukuliwa msukule na huku bado ukawa unaishi?

    Sayansi imethibitika haiwezi kuprove kila kitu. MF mchekue Dr bigwa was watoto akizaa mtoto mwambie aachie kitovu kidondokee Yale maeneo hakubali au we we muumini wa sayansi jaribu hii kitu uje na majibu ya kisayansi. Sayansi sio kila kitu
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ujasusi / Upelelezi / Udukuzi: Maana yake halisi na uhatari wake

    Sasa nijikite vipi ktk topic ambayo imeandikwa kilayman kama hii ndugu nitonye unahitaji kudoble check sio kila elim unayopata mitandaoni in sahihi maana wengi wanasema eti ni mada nzuri bila kujua alieileta anauelewa gani juu ya hiki
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ujasusi / Upelelezi / Udukuzi: Maana yake halisi na uhatari wake

    Ila kuna jamaa hapa kaleta mada ya nyuklia yule kweli in mtalaam wa atomic kwa jinsi anavyoelzea mada kitaalamu kumbuka hili jukwaa watu hujifunza let's mada zenye TBS kukuongezea knowledge njoo inbox nikupe kidogo tu afu kama ukipenda utakuja kumwaga jukwaani au utabaki nayo kwa faida yako...
Back
Top Bottom