Recent content by NYANYADO

  1. NYANYADO

    JamiiForums Tanzania Fuso Tipper engine 17

    Nakupigia Simu kwa namba ipi?. Reg no ya gari?.
  2. NYANYADO

    JamiiForums Tanzania M-PESA sio salama kabisa? Wakala anawezaje kuiba pesa ambayo tayari imeingia kwenye simu

    Mkuu habari za Kyabakari na Hapo Mwibala.?
  3. NYANYADO

    JamiiForums Tanzania GE2025 Glory Tausi: G55 tulitoa mawazo mazuri CHADEMA, lakini yalipuuzwa

    Bado nafasi anayo kutoa hayo maoni yake kwa Act.
  4. NYANYADO

    JamiiForums Tanzania Kagua salio lako CRDB, kuna pesa hazionekani kwenye akaunti

    Bado Mtandao Haujakaa Sawa, Jana Nimetumiwa Pesa Toka Mpesa , hadi sasa Haijafika.
  5. NYANYADO

    JamiiForums Tanzania Natafuta tenga za plastic uses

    Hizi zinaitwa Perforated Crate, Zinatengenezwa na Sila africa. Watengenezaji wa SIMTANK. Bei yake ni elfu 22 kama Sijasahau. Wanapatikana Chang'ombe Mbozi road DAR.
  6. NYANYADO

    JamiiForums Tanzania Kijue kitabu cha Zaburi

    Ubarikiwe kwa somo zuei
  7. NYANYADO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikiwa kwenye maandalizi ya tendo, manii zinatoka na hamu ya kuendelea na tendo inakata kabisa

    Pole sana, Shida inayokusumbua ni Ugonjwa wa Ngiri ya ndani. Ndio unaosababisha uume kulala ndani ya Muda mfupi kabla ya tendo. Shida hii uliipata baada ya .......................... Tafuta dawa ya ngiri ya ndani, Utanishukuru
  8. NYANYADO

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Dk Malisa dhidi ya CCM yasogezwa hadi Agosti 19

    Kumbe nilikuwa naota
  9. NYANYADO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani wanawake!! "mikucha mirefu siyo urembo wala mapambo"

    Pole Mkuu, wasamehe, wamekusikia watajirekebisha
  10. NYANYADO

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Bahari beach

    Mia 200 itapendeza
  11. NYANYADO

    JamiiForums Tanzania Dudu baya aka konky master

    Pia Anajua Yesu anaokoa.
  12. NYANYADO

    JamiiForums Tanzania Nyota yako leo Jumamosi Juni 28, 2025

    Gharama Na Utaratibu kujiunga?
  13. NYANYADO

    JamiiForums Tanzania Nyota yako leo Jumamosi Juni 28, 2025

    Hii elimu inafundishwa Wapi.
  14. NYANYADO

    JamiiForums Tanzania Nawatakia kila la kheri watia nia wote wa CCM kuelekea mchakato wa uteuzi unaonza wikienda hii

    Mkuu sisi tuliounga mkono kasi ya kiongoz aliopita, tunatengwa sana. Vipi hakuna utaratibu kama ule uliotumika awali wa sie kutoshindanishwa.? Ila pia tunaitwa oil chafu. Nyumbu wa majira ya joto.
Back
Top Bottom