Recent content by Nyanokwe96

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuwapiga picha watu wanaopewa msaada kidini?

    Kwan we hujui kua mtume alicopy Biblia
  2. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu wa shule binafsi kwa masomo ya Physics na Mathematics kwa ngazi ya O-level

    Hellow naomba namba yake huyo head master mm nahitaji nitumie 0765261930
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kuna anayeijua kampuni ya Salvation farm?

    Pole Sana
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kuna anayeijua kampuni ya Salvation farm?

    Ilivyokua mwaka wa mwisho chuo semister ya pili niliwekeza au niseme niliingia nao mkataba wa kulima nikatoa 2600000 kwa ajili ya kulima heka mbili za tikiti maji nikitegemea faida sasa mpaka saivi naona kimya nimejaribu kufatilia kwa wafanyakazi kwa kuwapigia simu wanasema walipata hasara na...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kuna anayeijua kampuni ya Salvation farm?

    Ilikua mwaka gani mkuu make mm niliwekeza hela nyingi na mkurugenzi amekimbia ofisi zao hapa dar wamefunga
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kuna anayeijua kampuni ya Salvation farm?

    Kuna mtu unafaham alieingia nao mkataba unipe mawasiliano tukaifungulie mashtaka mahamani mkurugenzi kakimbia
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kuna anayeijua kampuni ya Salvation farm?

    Nmeishalia niliwekeza kwenye hyo salvation farm tokea mwaka Jana wameisha kimbia na hela zetu na Ni kampuni iliyosajiliwa
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kuna anayeijua kampuni ya Salvation farm?

    Ni kampuni inayojihusisha na kilimo makao makuu yapo mbinga Ruvuma unaweza ukaeapa pesa wakakulimia mnaingia mkataba sasa nilikua nauliza Kuna mtu anaijua au ameisha fanya hivyo mm Ni mmoja wapo ambae nmewekeza
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kuna anayeijua kampuni ya Salvation farm?

    Habari wanaJF, nauliza Kuna anayeifahamu hii kampuni au alishawahi kuwekeza tufahamiane.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Inaumiza sana Mtoto wa Masikini anapokosa Mkopo wa Elimu ya Juu

    Umeandika bila kufikiria hivyo vyuo vya serikali vitatosha kudahili wanafunzi wote nchi nzima ili wapate mkopo
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwalimu wa science natafuta shule ya kufundisha

    Kila la la heri
  12. N

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Inawahusu walimu au wamiliki wa shule tu.

    Vp mnahitaji maagent
Back
Top Bottom