Religion?,anafanya shughuli yoyote ya kuzalisha mali?, anakwenda saluni? ,kiwango chake cha elimu?,mnaishi ktk chumba au nyumba nzima?, mna usafir auni watu wa boda boda? Ni kabila gani? Mpo jirani na kwao au na ndugu zake? Ukijibu dondoo/ maswali hayo walau tuaweza kukushauri.Angalizo hayo...
Nafikiri, lugha nzuri ni “awasaidie polisi wenzie kwa njia ya kiungwana” kukamata tena polisi itazua taharuki uckute wahalifu wamemchezea picha. Picha kama hizo wahalifu wanazijua sana kama Police wanavojua kuwawekea mabange na vikete watu wanaotaka kuwakomoa wakienda kuwa search. Kwahiyo ni...
Kwani haiwezekani kuwa huo ni mpango kazi wa wahalifu ili kuwapoteza maboya wapelelezi wapoteze muda kumchumguza polisi mwenzao? Labda kama wameikuta hiyo pikipiki chumbani kwa huyo polisi.
Kwa kifupi sana mtu unatakiwa ujue hivi:- kuna Quran na Hadith/visa.Quran ni Kauli/Maneno ya Mwenyeezi Mungu kwa wale wanao amini. Aidha hadith/visa ni kama zizopokelewa na watu mbali mbali direct kutoka kwa mtum(saw)kuna Kauli ya mwenyewe Mwenyeezi Mungu akisema kuwa” Wao ndio walioileta Qurani...
inasemekana wanajeshi wa israel(IDF) aslimia kubwa wanapumuliana lakini angalia walivo rhodri vitani, nafikiri washabiki wa Israel wangepiga kampeni /promotion ili watu wao wafirwe ili wewe mabingwa kama IDF.
Wewe jamaa una matatizo yani unataja mboga kuu nyumba kwangu. Watoto watatu wote masters wajukuu wawili wote ni ktk top five huko walipo mboga nayo kuwa ketu ni nsansa, tembele na nswalu, acha kujfurahisha.
Unasema uongo na wewe ni mnafiki:. Unamtaja Sokoine kwamba ni wa hovyo kupata kutokea.Magufuli unatakiwa umlinganishe na marais wenzie waliotanguli au yeye ni mtakatifu? Halafu unasema ndie alileta sheria bomu, unataka kuniambia Bunge halikuwepo wakati huo? Nyerere alikubali vipi? Hata hivyo ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.