Recent content by Nyankumbukwetu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatujachelewa; tuwekeze kwenye Cryptocurrencies!

    saiv kila coin ipo bullish ukimwambia mtu aweke pesa yake af after two weeks ikadump atakuona mchawi
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nilitamani sana udaktari ila kwa hili lazima nibaki chuo

    hata kuandika hajui anataka awe leacture
  3. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri chuo cha kusoma Civil Engenering

    Nyie mnaosema principle ni c mbona mnabishana na tcu, wameandika pricple ni d
  4. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumelala, tuapply hizi scholarships

    Vitu gani muhimu unatakiwa ujiandae kabla ya kuaply
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kozi gani ya Geology yenye ajira nzuri?

    Hasante nimekuelewa
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kozi gani ya Geology yenye ajira nzuri?

    Nimesoma combi ya cbg hiyo eng inahitaji math
  7. N

    JamiiForums Tanzania Application za vyuo kupitia TCU zinachukuwa muda gani?

    Kwani kama umejaza coz zote tano na zote una vigezo, bado unaweza kukosa nafasi?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuinstall Whatsapp kwenye Nokia C2-05

    Me natumia noka E61i nimejaribu inashindikana
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kozi gani ya Geology yenye ajira nzuri?

    Nimemaliza kidato cha sita mwaka huu, nataka kuaply coz za geology ila sijajua ni ipi yenye ajira nzuri, alafu UDSM nimeona kuna B sc in geology na B sc with geology nashindwa kuzitofautish, naombeni msaada wenu
Back
Top Bottom