Watanzania tumelala, tuapply hizi scholarships

Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
2,008
Reaction score
950
Naomba wabongo tuchangamkie fursa za scholarships za kusoma nje kwa level ya bachelor, mastersa na PhD. Tumekuwa tumelala sana huku tukipigwa bao na nchi nyingi za kiafrika kama nigeria na ghana kwenye suala zima la kuchangamkia scholarships.
Watu wamekuwa wakilalamika kila siku oooh michakato ni migumu, mara wanachaguana watoto wa wakubwa lakini ukweli ni kwamba huwezi kupata hizi scholarships bila kulala. HAIWEZEKANI, ukalala nyumbani kwako asubuhi mtu akagonga hodi amekuletea scholarship. You have to apply, Pambana Mtanzania!!!!!!

Mimi ninayeandika hapa saiv nipo South Korea nafanya masters na ni ya full scholarship silipi hata senti tano, na niliapply nikabahatika. Kuna websites nyingi ambazo zina hiz scholarship lakini moja wapo ambayo ilinitoa mm ni African Scholarships: International Scholarships for Developing Countries . Humo utakuta scholarships za mkuwaga mpk mwenyewe utachanganyikiwa.Nawasilisha.

Apply sasa, Mtanzania Pambana!!!!!
 
naomba elimu juu ya swali langu, scolarship hzo mara nying znahtaji niwe na vitu gan na sifa gan endapo ntapata? naomba unisaidie
 
Vipi mkuu naskia kuna ubaguzi sana wa waafrika huko hasa kipindi hiki cha Ebola!!..
 
naomba elimu juu ya swali langu, scolarship hzo mara nying znahtaji niwe na vitu gan na sifa gan endapo ntapata? naomba unisaidie

Mkuu scholarship zinatofautiana na kila moja inakuja na requirements zake. Mfano requirements za scholarship ya masters lazima zitatofautiana tu na za PhD. Ila pamoja na mengineyo generally wanataka uwe na vyeti ambavyo umepass "above average", visa, study plan ...
 
ahsante sna
 
asante mkuu kwa ushauri na kwa hiyo link ya application
 
Naomba wabongo tuchangamkie fursa za scholarships za kusoma nje kwa level ya bachelor, mastersa na PhD. Tumekuwa tumelala sana huku tukipigwa bao na nchi nyingi za kiafrika kama nigeria na ghana kwenye suala zima la kuchangamkia scholarships.
Watu wamekuwa wakilalamika kila siku oooh michakato ni migumu, mara wanachaguana watoto wa wakubwa lakini ukweli ni kwamba huwezi kupata hizi scholarships bila kulala. HAIWEZEKANI, ukalala nyumbani kwako asubuhi mtu akagonga hodi amekuletea scholarship. You have to apply, Pambana Mtanzania!!!!!!

Mimi ninayeandika hapa saiv nipo South Korea nafanya masters na ni ya full scholarship silipi hata senti tano, na niliapply nikabahatika. Kuna websites nyingi ambazo zina hiz scholarship lakini moja wapo ambayo ilinitoa mm ni African Scholarships: International Scholarships for Developing Countries . Humo utakuta scholarships za mkuwaga mpk mwenyewe utachanganyikiwa.Nawasilisha.

Apply sasa, Mtanzania Pambana!!!!!

ubarikiwe mkuu
 
Hivi jamani ni procedure gani hasa muhimu wanazitaka muhimu kabla ya hizo application hivi hawatozi hela
 
Vipi kuhusu pesa za accommodation na michango mingine mingine kama health insurance haulipi kabisa
 
mkuu vipi kuhusu ed inakuwaga na scholarship kwani?
 
Back
Top Bottom