Natumia nokia x2-1 whatsapp imegoma kabisa nisaidie plzLicha ya whatsapp kuwa inakubali baadhi ya simu tu,kama baadhi ya symbian 40 kama x2-01 pia sasa whatsapp inaweza kufanya kazi katika simu za kawaida kabisa za java aina ya nokia. We ni pm nikupe msaada mi nnatumia nokia x1 lakini nna chati na whatsapp kama kawa.
Natumia nokia x2-1 whatsapp imegoma kabisa nisaidie plz
Licha ya whatsapp kuwa inakubali baadhi ya simu tu,kama baadhi ya symbian 40 kama x2-01 pia sasa whatsapp inaweza kufanya kazi katika simu za kawaida kabisa za java aina ya nokia. We ni pm nikupe msaada mi nnatumia nokia x1 lakini nna chati na whatsapp kama kawa.