Recent content by nyankolo komoyo

  1. N

    uyatima unanitesa mpaka kichwa kinauma

    asante ndugu lisandime kwa ushauri
  2. N

    uyatima unanitesa mpaka kichwa kinauma

    hapana bob luse nilitaka niweke picha ila hii sim ninayo itumia inagoma
  3. N

    uyatima unanitesa mpaka kichwa kinauma

    asante ndugu basco saronga
  4. N

    uyatima unanitesa mpaka kichwa kinauma

    asante victor moshi kwa ushauri
  5. N

    uyatima unanitesa mpaka kichwa kinauma

    jamani mie nawaombeni tu kama kuna mtu anaeweza kusimamia ili nisome nimalize anisaidie jamani kwa makubaliano ya maandishi pindi nikipata ajira mie nitarejesha pesa yake na riba na vyeti atakua amevimiliki yeye jamani
  6. N

    uyatima unanitesa mpaka kichwa kinauma

    ndugu saiz niko vibaya kichwani yaan najihis kama kimbe ambae nimekosewa kuletwa duniani
  7. N

    uyatima unanitesa mpaka kichwa kinauma

    jaman utatima ni tauchukia milele daima mpaka sasa najiandaa kuacha masomo niliokua nikisoma katika chuo cha afya kwa sababu sina wa kunilipia karo ili nindelee na masomo daaa bora ningeli fariki mimi alie ni zaa abaki mpaka sasa nashindwa la kufanya nianzie wapi niishie wapi sina hata senti mia...
  8. N

    Uyatima unanitesa kichwa kinauma kila siku

    ndugu zangu kile kibarua ambacho nikua nafanya kilikua ni cha tobacco ilikua ni kazi ya msimu sasa ilivo isha ile pesa nilio kua nimeipata ikabidi nijipeleke shule kumbe ni bora ningeliacha tu nikafanya hata biashara yasingelinikuta haya
  9. N

    Uyatima unanitesa kichwa kinauma kila siku

    transporter nashukuru kwa ushauri ila kwa jinsi nijisikiavyo mpaka sasa natamani tu nipate hata ajari ya gafla ili nife niondokane na hii hali hata niwapo darasan nikikumbuka hali yangu najikuta naanza kufikilia sana jaman mungu huyu mniombeeni anipunguzie adhabu sasa hii naona imenizidi jamani
  10. N

    Uyatima unanitesa kichwa kinauma kila siku

    manumbu asante ndugu yangu ila naumia sana nafsi nibola kufa kuliko kuendelea kuishi
  11. N

    Uyatima unanitesa kichwa kinauma kila siku

    jamani mmenishauri lakin kwa jinsi moyo wangu nilivo lipokea hili swala nashindwa hata kuonge japo nijielezee hali yangu coz najikuta nalia tu paspo kuongea kitu kama leo nimeenda kumueleza kiongozi mmoja wa halimashauri nimeshindwa kuongea yaan jaman achen shida hizi bas tu nibora ningeli...
  12. N

    Rupia: Hazina ya Mjerumani

    Hizo rupia kuna mzee mmoja ivi anazo kama sita nimeziona mm kwa macho yangu huyo mzee anaishi serengeti katika kijiji cha nyansurura karibian na mto mara
  13. N

    Mali za Kijerumani

    Dah kumbe ni vya muhim hivo vitu huku serengeti kijiji cha rung'abure kwenye mlima wa hapa rung'abure hivo vitu vipo sana coz watu walisha jaribu kuvichimba inashindikana mala wakutane gesi inayo babua na kuota mapele makubwa mala maji yana bubujika mala linyoka so watu washa ogopa hata...
  14. N

    Uyatima unanitesa kichwa kinauma kila siku

    Jamani habarini za saizi, Mimi naitwa Revocatus ni kijana mwenye umri wa miaka 25 bahati mbaya toka kuzaliwa nilikua nikiishi na mama nilie mjua kua ndie mama yangu mzazi kumbe sivyo jamani ninaumia sana baada ya kuujua ukweli baada ya mwezi mda mfupi ulio pita baada ya mama yangu mlezi...
  15. N

    Natafuta mume wa kunioa

    achen mzaha pindi mtu ana tafta mwenzie mama sogea huku tulonge kiundani pm plz
Back
Top Bottom