Recent content by Nyangwe2904

  1. Nyangwe2904

    JamiiForums Tanzania Alichopost Mel Gibson katika mtandao wake wa kijamii

    Nawewe thibitisha argument yako
  2. Nyangwe2904

    JamiiForums Tanzania Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

    Kuwa katika haimanishi shetani hawezi kupambana nawe, siku zote anatafute mbinu nyingi kuvuruga kazi ya Mungu na uzinzi ni silaha kubwa anayoitumia Waefeso 6:12 maana tunashindana; falme na mamlaka, wakuu wa giza, majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. Tuombeane
  3. Nyangwe2904

    JamiiForums Tanzania Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

    Sio vema kuwalaumu shetani anahila za hali ya juu kupambana na wateule wa MUNGU, anatumia kanuni ya Mathayo 26:31b......., Nitampiga mchungaji, na kondoo wa kundi watatawanyika. so hata wao unaweza kuta hata hawajui kama wanatenda dhambi, ni kuwaombea tu rehema kwa BWANA YESU KRISTO.
  4. Nyangwe2904

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Kanisa Katoliki tugome kwenda kanisani kwa shinikizo la viongozi wetu kumhoji Papa Francis, Vitu anavyoruhusu ni kinyume na Kanisa letu

    Huwa watu wanatetea sana uovu, mi nionavyo haya mambo yakianza kuongelewa kama agenda na kutolewa matamko unaweza kuwa mwanzo wa mabadiliko makubwa huko mbele. Let wait and see
  5. Nyangwe2904

    JamiiForums Tanzania Nasikia ushawishi wa kutaka kujiua

    Kama una mwamini Mungu Muumba wa Mbigu na nchi, na Yesu Kristo nicheck tuombe pamoja, Utapona
  6. Nyangwe2904

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wanaonekana wa muhimu kuliko vyama vingine awamu ya sita?

    Ndiyo CHADEMA ni chama chenye umhimu kuliko vyama Sio kwamba CHADEMA wanaonekana ni wa muhimu, huo ndo ukweli. Kuonekana wa muhimu au sio wa muhimu ni kutokana na unavyojibrand na wao ktk hilo wamefanikiwa ukilinganisha na vyama vingine
Back
Top Bottom