kipikwe chochote kile lakini mboga isiwe kunde....! dah halafu bi mkubwa aligunduaga yaan kama ni ugali atakukodolea macho mpaka aone tonge lina kunde za kutosha, vivyo hivyo kwenye wali.
Kuna jamaa mmoja alkua ananifuzia, bac me nikawa navunga zile za kike kike lkn kiufupi nilkua nimemuelewa. Mshikaj kapanda hewan, kajaziaje yaan pande la mtu c unajua tena wasukuma walivyo. Weekend moja nikaenda kumtembelea kwake, kwenye romance mshikaj yupo vzur hatare, imefika kpnd cha kuanza...
ha ha ha ha! ni mambo ya aibu sana mkuu, licha ya kupigwa dushe ndani ya gari, kufika home nilifunguliwa na mama, c nikaanza mlazmisha jamaa twende tukaendeleze game ndani huku mama kacmama mlangoni ananisubiri niingie ndani ili afunge mlango.
kuna jamaa alikuaga ananifatilia nikawa namzungusha, basi mwaka jana kwenye siku yng ya kuzaliwa, akawa ameniandalia ki party cha kawaida tu nyumban kwa mshikaji wake. kiuhalisia me c muongeaji, mpole sana. nikaanza kunywa magic moment na nilkua cjawah kuinywa, baada ya muda mfupi unaambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.