Ndoto: Sehemu muhimu kwa afya ya hifadhi ya akili

Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
111,886
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
111,886 2,000
Mimi huwa naota nakimbizwa na ng'ombe mweusi hii ndoto imekuwa ikijirudia mara kwa mara toka nipo kidato cha sita mpaka leo hii ni zaidi ya miaka 10.
Mmmh.... Ngo'mbe mweusi? Anakupataga?
 
Stamina

Stamina

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Messages
917
Points
225
Stamina

Stamina

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2012
917 225
Huwa naota ndoto za kipindi cha nyuma mara nipo kwenye mitihani nafanya wakati sijafanya Maandalizi, mara nipo bwenini chuoni..... Sipendi kweli... Kwann nisiote future yangu naota past tu.

Ukiona hivyo, ujue maisha yako bado hayajakaa vizuri,, sio vile ulivyokuwa unategemea maisha yako yawe,

Kuota bado unafanya mitihani ya shule za nyuma ni kuashiria kwamba bado hujavuka Level fulani ya maisha yako unakumbushwa kwamba inakubidi ujiandae vyema kuweza kuvuka level hiyo
 
jaywacnza

jaywacnza

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Messages
734
Points
1,000
jaywacnza

jaywacnza

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2012
734 1,000
Mshana Jr ebu nisaidie ndoto zangu zinajirudia takribani miaka 15, huwa napigana vita, inaonekana ni miaka ya zamani sana. Katika vita huwa mm ni kiongozi wao, naua mamia ya maadui, nakua na nguvu za ajabu...kuna kipindi nakua nachoka sana mpaka nikiamka nakua nimechoka kweli na mapigo ya moyo yanaenda kasi.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
111,886
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
111,886 2,000
Mshana Jr ebu nisaidie ndoto zangu zinajirudia takribani miaka 15, huwa napigana vita, inaonekana ni miaka ya zamani sana. Katika vita huwa mm ni kiongozi wao, naua mamia ya maadui, nakua na nguvu za ajabu...kuna kipindi nakua nachoka sana mpaka nikiamka nakua nimechoka kweli na mapigo ya moyo yanaenda kasi.
Ni mapambano na mapigano ya kiroho ambayo kuna wakati unahusishwa moja kwa moja kimwili ukiwa usingizini... Jambo zuri ni kwamba unashinda
 
Nyangwada

Nyangwada

Senior Member
Joined
Sep 21, 2017
Messages
146
Points
250
Nyangwada

Nyangwada

Senior Member
Joined Sep 21, 2017
146 250
hivi karibuni nimeota nimekaa na watu ambao siwakumbuki tukijiandaa kula chakula ambacho pia ckikumbuki, ile nimeanza kula tu tumbo lilivurugika na hapo hapo nikashtuka tumbo likiwa linaniuma, baada ya kwenda kujisaidia kilitoka kinyesi kinachotoa harufu kali na toka ck hiyo tumbo langu halipo sawa kbsa. Ndoto hii inamaanisha nn mkuu?
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
111,886
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
111,886 2,000
hivi karibuni nimeota nimekaa na watu ambao siwakumbuki tukijiandaa kula chakula ambacho pia ckikumbuki, ile nimeanza kula tu tumbo lilivurugika na hapo hapo nikashtuka tumbo likiwa linaniuma, baada ya kwenda kujisaidia kilitoka kinyesi kinachotoa harufu kali na toka ck hiyo tumbo langu halipo sawa kbsa. Ndoto hii inamaanisha nn mkuu?
Dah hii ni live ulilishwa kitu kibaya hasa nyama ya wafu ama kibudu... Tafuta dawa ya MAKATA itakata kila kitu
 
jaywacnza

jaywacnza

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Messages
734
Points
1,000
jaywacnza

jaywacnza

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2012
734 1,000
Mshana Jr swali nje ya mada, juzi usiku sanane nilisikia watu wanapiga miruzi mrainii njia ya nje ya nyumbani kwangu...hv nambie ni kina nani hao.... Maana tangu nizaliwe ndo mara ya kwanza kusikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
111,886
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
111,886 2,000
hopejunior

hopejunior

Senior Member
Joined
Aug 22, 2017
Messages
192
Points
225
hopejunior

hopejunior

Senior Member
Joined Aug 22, 2017
192 225
Yaan Mimi ndoto zangu szielew..Mara kwa Mara naota npo kweny maji meeng sa ingne naota nazama kabisa, sa ingne naota natembea juu ya maj(Mara moja moja) ila nyngi naota nazama afu maji meng sana,,,,,nitafsrie.....2)nmeota TEMBO mnyama amekja nymbn kwetu, cha ajabu tumemkmbia, tembo akatembea kvyake akaelekea barabarn cha ajabu yule tembo akakutana na watt wanacheza, hakuwadhuru, yaan yule tembo hakudhuru MTU, ckujua manake nlfkiria sana,,cjawah muwaza tembo, cjawah ota ndoto ya tembo,naomba unifafanulie
 
hopejunior

hopejunior

Senior Member
Joined
Aug 22, 2017
Messages
192
Points
225
hopejunior

hopejunior

Senior Member
Joined Aug 22, 2017
192 225
Yaan Mimi ndoto zangu szielew..Mara kwa Mara naota npo kweny maji meeng sa ingne naota nazama kabisa, sa ingne naota natembea juu ya maj(Mara moja moja) ila nyngi naota nazama afu maji meng sana,,,,,nitafsrie.....2)nmeota TEMBO mnyama amekja nymbn kwetu, cha ajabu tumemkmbia, tembo akatembea kvyake akaelekea barabarn cha ajabu yule tembo akakutana na watt wanacheza, hakuwadhuru, yaan yule tembo hakudhuru MTU, ckujua manake nlfkiria sana,,cjawah muwaza tembo, cjawah ota ndoto ya tembo,naomba unifafanulie
Mshanaa
 
dnjoki

dnjoki

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Messages
239
Points
225
dnjoki

dnjoki

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2013
239 225
Kiongozi Mshana,habari ya majukumu?
Naomba msaada wa tafsiri ya ndoto yangu hii upatapo nafasi.Alfajiri ya leo nimeota niko ndani ya nyumba ya baba yangu(ijapokuwa kiuhalisia nyumba halisi ya baba yangu na mithili ya nyumba niliyoota ni tofauti maana hana nyumba ya mithili hiyo) na katika ndoto hii nilikua na rafiki yangu wa kiume(ambaye kiuhalisia yupo kweli na tumesoma wote sekondari na hadi hivi sasa ni rafiki yangu) hapo nyumbani kwetu.Sasa katika ndoto hiyo nimeota mezani tunapoketi kifamilia kula chakula kuna sufuria kubwa limefunikwa kwa kisaani kidogo(kisosi) ambacho kilioneka kufuni sawia mdomo wa sufuria ile kubwa.Sasa katika kuzungukazunguka/kuchezacheza na rafiki yangu huyo nikatikisa sufuria hilo ambapo kisosi hicho kilikuwa kimefunikia na bahati mbaya kikataka kutumbukia,na hivyo nikawahi kwenda kukiopoa kisitumbukie na hamadi ndani ya sufuria nikaona kulikua na maji baridi na joka kubwa sana jeusi.Mimi na rafiki yangu tukaogopa naye rafiki akaanza kukimbia wakati huo mimi nikawa najaribu kutafuta kitu kikubwa ili kulifunika tena hilo sufuria ili joka hilo lisitoke likatudhuru.Lilikua joka jeusi lenye macho makubwa na mkiani linamkia mithili ya mkia wa samaki pia lina mapezi ya kuogelea kama samaki,pia lina meno makubwa yaliyo yametokeza mithili ya miba.Lakini sikufanikiwa,maana joka hilo lilitoka nje ya sufuria ile na kuelekea nje ya nyumba huku likipaa,halikuwa likitambaa.Hivyo nami nikafunga milango ya nyumba ya kutokea nje ili lisirudi ndani.Nilipofunga milango nikawa na jadili na mdogo wangu wa kike(ambaye mwanzo wa ndoto hakuweko ndotoni) kwamba nani na nani kati ya ndugu zetu aliye nje ya nyumba na anarejea ndani ya muda uke kwamba tumpe taharifa ili asije dhuriwa na joka lile.Pindi tunaendelea kuulizana ndipo nami nikashktuka usingizini.Nisichokumbuka nikwamba yule rafiki yangu alibaki ndani au alikimbilia nje ya nyumba.

Naomba msaada wa tafsiri ya ndoto hii kiongozi.Joka jeusi lililo mithili ya samaki mfano wa nyoka,liko ndani ya sufuria imewekwa maji nyumbani kwa baba yangu mzazi mezani tunapopatiaga chakula toka mimi napata akili hadi utu uzima huu.
 
R

ruli

Member
Joined
Sep 13, 2017
Messages
80
Points
125
R

ruli

Member
Joined Sep 13, 2017
80 125
Natamani ningepata mawasiliano na wewe halafu nikajua sehemu ulipo ili niweze kushare vitu fulani
 
Loeb S Mpalasinge

Loeb S Mpalasinge

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2013
Messages
1,116
Points
2,000
Loeb S Mpalasinge

Loeb S Mpalasinge

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2013
1,116 2,000
Nimeisoma maada na Naomba Nikuulize maswali,,
1.Ni kweli majini hayana kivuli?

2.Je ni kwa nini??

3.Kuna uhusiano gani kati yao na jua!! Kwa nini jua au Mwezi viwamulike na kusitokee kivuli??

4.Kuna watu Wanasema mtu anaweza kuiba kivuli cha mtu kichawi hii ni kweli??

5. Kivuli kina uhusiano gani na binadamu au ni sehemu gani ya binadamu??
 

Forum statistics

Threads 1,304,173
Members 501,290
Posts 31,505,172
Top