Recent content by NYANGOGO

  1. N

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Marais ambao walikuwa wa muhula mmoja tu

    Nelson Mandela
  2. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Lakini nakumbuka Chadema walisema watakuwa wanaanza na maandamano kabla ya kwenda sehemu ya kufanyia Mkutano. Pengine hayo ndo maandamano yenyewe.
  3. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 TBC kurusha live uzinduzi kampeni za CHADEMA leo Zakhiem

    Niko njiani nakuja
  4. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chondechonde wanasiasa fanyeni kampeni za kistaarabu

    Leo ni siku ambayo kampeni nhini Tanzania zinaanza kuelekea uchaguzi mkuu ambao utafanyika tarehe 28 Oktoba 2020. Niwaombe wanasiasa wafanye kampeni za kistaarabu, ni wakati wao wa kuuza sera zao. watueleze ni namna gani wamejipanga kuendeleza na kubuni mikakati mbalimbali ya maendeleo kwa ajili...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete ulifanya la maana kuzindua mwenyewe miradi yako ya mwishoni mwishoni, la sivyo Watanzania wasingejua ukweli

    Nimegundua Mkapa alifanya mambo mengi sana ila hakutaka kujionyesha.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    pumzika kwa amani mzee wetu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu herufi za jina ambulance kuandikwa kutoka kulia kwenda kushoto

    Oooooh kumbe ndiyo hivyo
  8. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

    Uwaziri mkuu haiwezekani ila atakuwa either Waziri wa mambo ya ndani au Waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa.
  9. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Fred Lowassa achukua fomu ya kuomba ubunge Monduli kupitia CCM

    Wapi JULIUS KARANGA?
  10. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

    Hata mimi nimeanza kujenga Imani kwa wanawake angalau wanaonyesha msimamo kuliko wanaume
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bernard Kamilius Membe Meets CHADEMA top officials, The 2020 election tops the agenda

    Mimi nawashauri Chadema wajifunze kutengeneza viongozi wao wa baadaye. Chadema inatakiwa ijikite zaidi kwenye masuala ya kufundisha itikadi na maadili ya kiuongozi kwa vijana ili baadaye iwe na hazina kubwa ya viongozi. Hii tabia ya kutegemea makapi kutoka vyama vingine ili kugombea nafasi...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe na mkewe warudisha kadi za CCM. Aishukuru CCM kwa mema yote iliyomtendea

    Anaenda kutafuta uwanja mwingine
  13. N

    JamiiForums Tanzania KAMATI Maalum ya CCM imependekeza Majina ya Wagombea 5 wa Urais Zanzibar

    Bila shaka Jecha hawezi kukosa
Back
Top Bottom