Tujikumbushe Marais ambao walikuwa wa muhula mmoja tu

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,701
45,035
Taja Rais yoyote ambaye amewahi kushika madaraka kwa muhula mmoja tu. Hii itasaidia wasiojua historia kuweza kufahamu!

Mimi naanza na George Bush Senior! Alitawala Marekani kwa muhula mmoja tu, alipojaribu kuomba ridhaa kwa muhula wa pili alipigwa chini na Bill Clinton mgombea wa Democrats.

Tukumbushe unayemfahamu wewe!
 
Ngoja na sisi tuone baada ya 2025 iwapo tutaandika historia kwa mara ya kwanza.
 
Back
Top Bottom