Recent content by Nyangili

  1. N

    RC Chalamila: Zoezi la kuwasaka madada poa lililoanzishwa na DC Bomboko ni Endelevu na litatekelezwa na Wakuu Wote wa wilaya za DSM!

    Mungu amfanikishe RC aweze kutimiza maneno haya inakera sana hawa dada zetu wanapofanya biashara hii.
  2. N

    Lissu awasusia Ziara Mbowe na Lema

    Kwa kweli kuwa CCM nahisi unakuwa umepungukiwa na kitu kizito sana kichwani. Kama hospital zetu hazitaleta tiba basi tutakuwa na watu ambao uwezo wao wa kufikiri uko rehani na mbali sana.
  3. N

    CHADEMA wanafanya wanayo yapinga, Badala ya kuweka nembo ya chama wameweka Picha ya Mbowe kwenye Chopa

    Kijani tunakwama wapi? Hivi haya mambo ya uzushi kwa chama hiki kikubwa tunatoa wapi?? Au ufahamu wetu umesinyaa?
  4. N

    Kwa sasa imani, matumaini na mapendo ya watanzania wengi ni CCM pekee

    Unaongelea watanzania wapi? Watafuta vyeo au wananchi wa kawaida? Hakuna raia mwema na mwenye moyo mweupe na nchi hii akawa CCM
  5. N

    PreGE2025 Uchaguzi wa CHADEMA kanda ya Victoria wagubikwa na Ugomvi

    Kwani Chadema kuna ugomvi au ni CCM imeona itumie nguvu kuwanyamazisha wapambanaji hawa.
  6. N

    PreGE2025 Ni aibu kubwa sana CHADEMA kupigana ngumi katika Uchaguzi mbele ya Naibu katibu Mkuu wake Benson Kigaila

    Lucas hujaweka namba ya simu chini watafanyaje wale wanaotaka kukulipa kwa Mpesa au wakupigie kukupa uteuzi kwa uchawa huu.
  7. N

    Ili ufanye harusi au sherehe Moshi lazima ulipe Kodi za Manispaa Tsh. 230,000

    Kwa kweli nchi ikikosa watu makini wenye ubunifu na malengo halisi ya kusaidia nchi haya ndio matokeo yake.
  8. N

    Tundu Lissu aendelea kushambuliwa mitaani kwa kauli zake za kibaguzi na chuki

    Kama Lisu huoni kwamba ana hoja basi kukuelewesha wewe ni kazi kubwa ndio maana hata unaowatetea hawawezi kukuteua kwa ufahamu huu.
  9. N

    Kijana hakikisha unanunua gari yako ya kwanza kabla hujafikisha miaka 30

    Ok. Sawa lakini siku kikokotoo kikifika gari linakosa mafuta
  10. N

    Tundu Lissu aendelea kushambuliwa mitaani kwa kauli zake za kibaguzi na chuki

    Angalau jaribu ujitumue kujibu hoja badala ya shutuma. Ukimjibu Tundu tu ndipo utapata uteuzi wako mapema la sivyo utasumbuka sana mwana CCM mwenzangu.
  11. N

    Tundu Lissu aendelea kushambuliwa mitaani kwa kauli zake za kibaguzi na chuki

    Lucas weka namba wakutumie hela ya bando. Uteuzi ni mgumu sana kuupata kwa namna hii. Naomba wewe labda ukisaidie chama changu kujibu hoja. Tutafurahi sana kupata mtu wa kupangua hoja kwani hata KINANA ameshindwa kujibu, Nape ameshindwa kujibu hoja. Hangaya ndio amenywea kabisa sasa wewe ndugu...
  12. N

    Mimi ni Simba: ila hii Yanga inakera

    Pole ndugu kwa kukereka lakini mpira ni uwekezaji na viongozi wa Simba wanasuasua kuwekeza sawa sawa.
  13. N

    Kijana hakikisha unanunua gari yako ya kwanza kabla hujafikisha miaka 30

    Kwa kweli vijana wana waza kununua gari badala ya kuwaza kutengeneza mfumo bora wa maisha. Yaani mtu anapaswa awe na kipato himilivu ndio ununue gari aka liability
  14. N

    Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA, Mkoa wa Mbeya asema CHADEMA imejaa watu wenye roho mbaya, asema uchaguzi wa chama umejaa rushwa ya kutisha

    Halafu unakuta sisi ambao hatuna uhuru wa kujieleza ndio tunawasema vibaya Chadema. Kwa kweli kuwa CCM ni sawa na jera ila kwa vile tuko ili tupige diri tu na ni chama cha wapiga diri tunaendelea kukomaa humo humo na diri zetu.
  15. N

    Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA, Mkoa wa Mbeya asema CHADEMA imejaa watu wenye roho mbaya, asema uchaguzi wa chama umejaa rushwa ya kutisha

    Chama kusemana na kukosoana ni jambo la afya sana. Nawashukuru Chadema wana uhuru wa kutoa mawazo na kusema. Lakini sisi kijani ni zidumu fikira za Mkiti tu hata kama hafanyi vizuri
Back
Top Bottom