Recent content by Nyanda Mhandagila

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Joyce Msuya ateuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa UN, Rais Samia ampongeza

    Unabii wa nabii Mashimo umetimia!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Washauri wa Rais Samia ni akina nani?

    Cabinet
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ahsante Rais Samia, hatimaye HESLB wafuta VRF kwenye system yao

    Naona huna ndg walio masikini
  4. N

    JamiiForums Tanzania Athari mbaya za Bongo Movies kuwa na Vilaza wengi ndani ya jamii

    Nakuunga mkono kwa 100%
  5. N

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Maana ataoa ama kuolewa. Na pia atazaa. Hivyo atagundua mshahara haumtoshi. Maana hatakaa kibachelor siku zote
  6. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tukutane Jumanne baada ya Pasaka kwa uapisho mwingine, hapa hapa Ikulu

    Bila shaka itakuwa zamu ya PSs. Maana si rahisi kuteua RCs kabla ya PSs
  7. N

    JamiiForums Tanzania Aibu: Anayetafsiri Uwanja wa Jamhuri kamati hakujiandaa

    Ni kweli! Japo English yangu ni ya kawaida sana,Ila huyo mtafsiri siyo. Na hapo ndipo sasa tuone kama kweli elimu yetu inahitaji kuwa kwa Kiswahili au tunatakiwa kuboresha English Ili Kila mtu amalize elimu akiwa na ujuzi nayo
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nichagueni kuwa Rais wenu 2025 niwafanyie yafuatayo...

    Mimi kwenye sifa ya kuwa Mbunge minimum qualification of education iwe degree. Kwa katiba yetu, unapochagua Mbunge ni kama kuchagua mtu anayekwenda kuwa Waziri. Hivyo, sifa ya kuwa Mbunge iwe ni degree. Form six na diploma ziwe ni sifa za kuwa Diwani. Darasa la 7 na form four wabaki kuwa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli amteua Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

    Ni promotion au demotion?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Magufuli wewe ni mzazi unayejitambua

    Huo ni mtazamo wako. Ila uko hasi. Jipeleleze ila pia fanya research uone wangapi walizaa na wakarudi shule na kufaulu vyema kabisa
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Hivi hili Gazazeti liko wapi? Maana sijaliona kitambo kirefu!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako, ni lini tutaanza kutumia Kiswahili kama lugha ya kujifunzia hadi Chuo Kikuu?

    Utakuwa na uwezo mdogo sana wa kufikiri. Ulishawahi hata kufikako huko? Hao wachina,wakorea,warusi,wajapan wanajifunza na kumaster Kiingereza kuliko uharo wako wa mawazo uliouleta hapa
  13. N

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako, ni lini tutaanza kutumia Kiswahili kama lugha ya kujifunzia hadi Chuo Kikuu?

    Watu wa aina yako mnapaswa kupimwa akili na uwezo wenu wa kufikiri
  14. N

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako, ni lini tutaanza kutumia Kiswahili kama lugha ya kujifunzia hadi Chuo Kikuu?

    Anza kwa kufundisha mtoto wako kwa Kiswahili. Mbona mnapenda sana kuudhi,kukera, na kuuza watu kwa kuwapumbazisha? Una watoto au mtoto? Unasomeshea wapi? Mbona mnaopenda kupotosha watu kwa kutetea Kiswahili ndio mnaohangaika kugharimia elimu za watoto wenu kwenye English medium schools,academies...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Mene mene,tekeli na peresi. Asomaye na afahamu

    Point of correction: Hakuwa mfalme Nebukadneza. Bali alikuwa mfalme Belshaza
Back
Top Bottom