Recent content by nyamurujustine

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lema hakuwepo uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuwasilisha matatizo yanayoikabili Arusha?

    Mbona kwenye kuwaaga wale wanafunzi lema alikuwepo uwanjani ila hakupewa furusa km mmbunge mwenyeji isipokuwa wabunge wa mbali? Kila mtu afanye yake na angekuwepo was in felons finishes wote ila wangesontwa tu nyinyiemu pole
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Moravian lamuunga mkono Rais Magufuli, lapuuza matamko na kuyaita ni malalamiko

    Kitila umeanguka leo hii umekuwa mpinga kristo?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Unapompinga Rais Magufuli, unapinga yafuatayo

    Puuuuzi la kutosha hili limetokea mtaa gani wa wajinga? 1. Nitajie mjanja mmoja Tz aliyemwandikisha mwanaye kwenye hiyo unayoiita elimu? 2. Machinga wanafanya biashara hovyo na na wamepandishiwa bei ya bidhaa na wananchi hawana hela wanamuuzia nani? 3. Yani kuwa na fli
  4. N

    JamiiForums Tanzania Aibu kwa kijana uliepewa mkopo 100% na Serikali kuishambulia na kuizushia

    Pu.......u yani siasa uchwara ni uoinzani tu
  5. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA iombe radhi kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi

    Jimbo gani
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mauaji wilaya serengeti 09/01/2018

    Jina la la mtu wa Pili ni Mwikwabe Nyamhanga Ngembho
  7. N

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Uchaguzi mdogo Singida,Longido na Songea Mjini

    Kalia
  8. N

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA ikiamua kumfukuza Lowassa itabaki salama? Tujadili

    Pumbavu chadema haijawahi kuteteleka tangu msingi wake na huwa haiteteleki
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Kheri James kuliamsha dude Longido

    Muku............d
  10. N

    JamiiForums Tanzania BAVICHA: Hatuwezi kumpongeza Magufuli kwa lolote. Kauli aliyoitoa Lowassa ni yake, sio yetu

    Lowasa kabanwa kwenye vitega uchumi wake angefanyaje km c kujisalimisha na kupiga magoti ya msamaha? Ili aendelee kusainiwa safari za nje na posho za ustaafu kisiasa kafeli na hatawahi kuwa mgombea urais kupitia Chama chochote hapa duniani na kuzimu amekwisha atabaki stori mwacheni aende zake
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Africa isiungane tuwe moja? Mbona litakuwa jambo zuri mno!

    Hata Namala ukimuuliza asiwe rais leo Africa hawezi kukubali aitwe Gavana
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wapinzani wa Tanzania huwa hawasikii wala hawajifunzi?

    Leo nilipoona kwenye mitandao ya kijamii Lowasa kaenda kunywa chai Ikulu nikashangaa sana, ila nimemkumbuka rafiki yangu Lowasa kaja kuuwa upinzani nilikataa sana leo nimeamini kaja kwa mpango Maalumu wa ccm tangu alivyokuja alileta watu wazito na baadae nimegunduwa ndiye anayewatoa CHADEMA na...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa nyumba za kupangisha na wapangaji pitieni hapa, hii inawahusu

    Wazirist aweke maoni yangu haya kwenye mswada 1. Sheria iseme nyumba ya namna gani na hadhi gani wapangaji watalipia sh. Ngapi pamoja na VAT isije ikawa wenye nyumba wakapandisha kodi ya nyumba kwa visingizio va VAT na wakati nyumba haina kiwango cha hiyo kodi ya pango. 2. Kuwepo na mahali...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa, nani mkubwa kimadaraka kati ya Katibu Mkuu Kiongozi na Mawaziri?

    Anatumia gari lenye nembo ya taifa au namba zipi?
Back
Top Bottom