The boss amehongwa na baadhi ya mameneja kuwatetea. Hakuna mtanzania asiyejua udhaifu wa hao ma CEO . Huenda nawe ni miongoni mwao. Pr. Muhongo kaza buti usiogope hayo majipu
Finca 5% kwa mwezi ACCESS 5.5 kwa mwez. Benk nying zipo kwa ajir ya kuwaibia wananchi. Na serikal iko kimya. Mh rais gavana wa BOT hajui wajibu wake anapaswa kutumbuliwa jipu
Raisi wa awamu ya tano ndugu John Pombe Magufuri, ameanza uongozi kwa kasi kubwa ambayo imefurahisha wananchi walio wengi. Ameanza kwa kubana ukwepaji kodi bandarini na sehemu nyingine chache. Lakini pamoja na jitihada zake, kuna baadhi ya taasisi zinamwangusha. Mfano mmoja wapo ni SUMATRA. Hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.