Ni suluhisho kwa biashara ambazo gharama ya huduma ni fixed, mfano car washes, salons n.k, unaweza sasa kusimamia biashara zako zilizo maeneo mbalimbali bila kuwepo via whatsapp.
Karibu
Monitoring system maalumu zinazotumia muunganiko wa camera zenye nguvu zinazokuwezesha kusimamia biashara zote zilizo sehemu yoyote, popote ulipo utaweza kupokea picha za matukio yote katika maduka yako, migahawa yako, salon zako, yaan sehem yoyote unapohitaji kusimamia ukiwa haupo.
Sasa...
Monitoring system maalumu zinazotumia muunganiko wa camera zenye nguvu zinazokuwezesha kusimamia biashara zote zilizo sehemu yoyote, popote ulipo utaweza kupokea picha za matukio yote katika maduka yako, migahawa yako, salon zako, yaan sehem yoyote unapohitaji kusimamia ukiwa haupo.
Sasa...
Wadau, kuna haya maandishi ambayo ni bold yanawekewa taa kwa ndani kila herufi na usiku yanaonekana vizuri yanapatikana wapi, ni mazuri sana kuwekea logo ya saluni, wapi tunaweza pata?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano, Mtu akiwa na duka la mangi, salon, na mgahawa maeneo tofauti, anapokadiriwa kodi yanaangaliwa mauzo katika biashara zote au kila biashara inakadiriwa kodi kivyake?
Msaada wa haraka wadau, ninataka kuanza biashara, ila sina kitambulisho cha kura wala cha taifa ( vilipotea),
Je inawezekana kuanza biashara yaani kupata namba ya mlipakodi na leseni bila kuwa na jina la biashara? Maana ili kusajili jina la biashara vinatakiwa vitambulisho, na mim hivyo sina...
Vipi kuhusu kampuni, ikiwa mmoja awa wanandoa alikuwa na kampuni anayoiendesha, katika kugawana mali kulingana na mchango wa kila mmoja inakuwaje kuhusu kampuni au biashara ambayo alikuwa nayo mmoja wa wanandoa kabla hawajaoana ikizingatiwa kuwa hakuna kilichoongezeka katika kampuni au biashara...
Khabari wadau, yeyote mweny mchango hatua zinazopaswa kuchukuliwa ili kuanzisha kiwanda, unapataje eneo linalotakiwa kisheria kwa ajili ya kiwanda, na je utupaji majitaka kutoka kiwandani ( kiwanda cha saiz ya kati) kwenda kwenye mito inayopitisha maji taka inaruhusiwa ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.