Recent content by NYAMOZEHOKO

  1. NYAMOZEHOKO

    JamiiForums Tanzania Nilipata mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 41 na wa pili nikiwa na miaka 50 , vijana pambanieni ndoto watoto wapo hapo Ada 5M kwa mwaka

    Yaaani kama mtu mwenye miaka 53 ndo anaandika hivi basi Kuna shida kubwa sana kwenye Taifa.
  2. NYAMOZEHOKO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Naombeni link ya kuangalia game jamani
  3. NYAMOZEHOKO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Tufanye swap, Ten hag to chelsea, Pochetino to Man u? hapo vipi?
  4. NYAMOZEHOKO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    yaani huyu jamaa anazidiwa mbali sana na yule bwana mdogo wa Brighton JOEA PEDRO
  5. NYAMOZEHOKO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Duh? yaani naamba 3 za simu na kila no ina jina tofauti, hapa kuna kila dalili za utapeli.
  6. NYAMOZEHOKO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu vipi? kesho mamelody sundown yupo chamazi vipi tumpe direct win?
  7. NYAMOZEHOKO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Haya matreni kiama chake huwa ni jmosi. yakivuka jmosi salama basi we mwamba kweli kweli.
  8. NYAMOZEHOKO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    23B36BF betpawa 27 odd. j5 hadi ijumaa. ukitaka ongeza mechi yanga na kmc. Gud luck.
  9. NYAMOZEHOKO

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Jamaa anakera sana, hata huku whatsup hadi leo hii bado hajamaliza. INaweza kupita hata wiki asitumie episode yoyote.
  10. NYAMOZEHOKO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    from now on hakuna kukashaout ni mpaka kielweke.
  11. NYAMOZEHOKO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    porto mshenzi, nimeshacash out yeye anashinda dakika ya 90 +10. duh kweli betting ni kiboko.
  12. NYAMOZEHOKO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    dah porto nimeona haeleweki imebidi nifanye cash out
  13. NYAMOZEHOKO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    direct win
  14. NYAMOZEHOKO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    dah mkuu we acha tu yaaani.
Back
Top Bottom