Recent content by Nyamongo kwao

  1. N

    JamiiForums Tanzania Yai lina nyuso ngapi? kingo ngapi? na peo ngapi?

    Tatizo la wabongo ukiulizwa swali unauliza swali na wewe,ila ngoja nikujibu linaitwa VIZA.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Yai lina nyuso ngapi? kingo ngapi? na peo ngapi?

    baada ya kuulizwa swali hili nikaona bora nilete mbele yenu ili tilijadili kwa kina mie binafsi nimeshindwa.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Mfalme inaitwaje kwa Kiswahili

    JF, Nyumba ya Mfalme inaitwaje? Tumezoea kuita Ikulu je ni sahihi?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Dawa za kulevya: Watanzania watatu wakamatwa India, mmoja afariki

    Inaonekana hawakupata pip-off juu yako mkuu.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Je Shuke yako ya Msingi Uliyosoma Imekuwa ya Ngapi Kitaifa Kati ya Shule 15656 Mwaka Huu 2013

    Nafasi ya 6508.itazame mwenyewe kwa maelezo zaidi =mara _tarime _nyabigena shule ya msingi.
  6. N

    JamiiForums Tanzania kuitambua simu mahali ilipo kwa uwezo wa internet'''

    mkuu yakwangu ni nokia 111
  7. N

    JamiiForums Tanzania Delete facebook acount

    Nimechoswa na mtandao huu wa FACEBOOK anaejua namna ya kufuta wala si ku_deactivate acount anisaidie.
  8. N

    JamiiForums Tanzania msaada box la kuflashi simu

    jf naomba mwenye kujua box lenye ubora zaidi la kuflashi simu za aina zote anijuze,mie ni fundi nahitaji kutumia mashine hiyo.
  9. N

    JamiiForums Tanzania msaada dawa ya meno pls

    ndula ni nini? pia mimi ni male si dada!
  10. N

    JamiiForums Tanzania msaada dawa ya meno pls

    yanauma sana mzazi
  11. N

    JamiiForums Tanzania msaada dawa ya meno pls

    baba yangu 72yrs anasumbuliwa sana na meno anayejua dawa naomba tumsaidie,hata chakula anakula cha vuguvugu kwa sasa.
  12. N

    JamiiForums Tanzania yai bichi ni dawa ya nini?

    leo nimeona mtu anakunya yai bichi direct kutoka kwenye ganda lake,je ni dawa au ni chakula?!
  13. N

    JamiiForums Tanzania Sumu nayo ina tbs?

    Wandugu salama za mida hii? Naomba kuuliza kama sumu mf.ya panya au wadudu huwa nayo ina tbs?kwa nini?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Binti kutoa uchafu uken wakati wa tendo la ndoa

    Hizo fangas
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kupatwa kwa dunia

    Hii itatokea lini? Au nisahau!
Back
Top Bottom