Habari wa jamvi!
Naomba niweke wazi msimamo wangu juu ya tetesi zinazoenea juu ya taarifa ya katibu mkuu wetu kujiudhulu kwake nakama nikweli itakuwa inakatisha tamaa wananchi napia vyama vya upinzani vitakosa imani kwa wananchi nasubiri kauli yake na mimi nitafanya maamuzi magumu.
Habari,
Natumaini wote wazima afya njema.
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 24 mwenyeji wa Tarime mkoa wa Mara. Kifupi nimehitim form six mwaka 2013 nakupata div4 ya point 18 nilikuwa nachukua PCM mwaka jana niliomba chuo nikapata ila nikakosa pesa ya kulipia gharama za chuo.
Kwakuwa bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.