Recent content by nyamhanga

  1. N

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    kwa kweli umenikumbusha mbali sana nakumbuka ilikuwa julai 1987 tulienda makuyuni jkt wakati huo tumetokea oljoro tulienda kuvuna mahindi na maharage. tukachapa kazi kweli kweli hadi maafande wakafurahi wakaamua kutufanyia sherehe tukala tukashiba na mchana tukapellekwa mto wa mbu tukanywa...
  2. N

    Polisi yazuia maandamano ya 'kuunga mkono hotuba ya JK' Dar

    ni sawa kuyazuia maana hicho kikundi zidhani kama kina usajili wowote. na kama wangeruhusu vingejitokeza vikundi vingi vyenye majina mbalimbali na sababu mbalimbali. kama ni maandamano ya chama fulani sawa na ijulikane ni chama gani. maana kusema kikundi cha wapenda amani haitoshi.
  3. N

    Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

    mshahara ni makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa kama wamekubaliana wewe shida yako iko wapi?
  4. N

    Katibu Mkuu wa CCM Hayupo nchi!!

    ni kweli muda mrefu sijamsikia mzee Makamba akilonga nafikiri anavuta pumzi.
  5. N

    How to use JamiiForums effectively

    wanajamii hajambo, ndio napiga hodi naomba ushirikiano wenu.
Back
Top Bottom