Recent content by nyambura

  1. N

    JamiiForums Tanzania Majina ya Kimakonde

    TEH TEH du uyo mkali ..katshaaaaaaaaaa yechu?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Urine therapy

    mhh dzain anda 22 o 18? from language n mahudhui pia kojoa kunywa ule wa bar wakat umelewa ndo mzur zaid ..fulll kupona KIKOMBE CHA MTOTO.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nimemchoka mwanaume huyu lakini nampenda nifanyeje?

    ananizid kipato
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nimemchoka mwanaume huyu lakini nampenda nifanyeje?

    tunaelewana tu kwa mengne yooote ila pbm ni apo tu lakin mengneyo haina shda
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ile ofa aliyotangaza Dr Ndodi Star tv ni utapeli mtupu

    yule bwana ni TAPEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEL wa kutupwa. bei za dawa kwake ni bora uende st thomas
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wakina dada kuvaa viatu vya Plastic,je ni urembo au umasikini ?

    recycling system oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nimemchoka mwanaume huyu lakini nampenda nifanyeje?

    dsm thax
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume suruali!

    mweee wakome kabsa na waipokoma tutawafata na vduku
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nimemchoka mwanaume huyu lakini nampenda nifanyeje?

    kinondon ipi wap? pls nambie
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nimemchoka mwanaume huyu lakini nampenda nifanyeje?

    duu kweli ahsante
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nimemchoka mwanaume huyu lakini nampenda nifanyeje?

    dah naomba xperience yako pls ulifanyaje na paka uyo ni pm plssssssssss
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nimemchoka mwanaume huyu lakini nampenda nifanyeje?

    ikiwezekana aache vyote mwanaume ajawai kunipa ata sh kumi yake ni mimi tu wa kumsaidia akiwa na shda mapenz yanapanda sana lakin akiwa na ela anakuweka kando mpk akiishiwa ndo mahaba utayaona kuniomba nauli pia spend y asiwe anaifadhi pesa zake?yeye zote ananywea afu mimi ndo wakufiks...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Nimemchoka mwanaume huyu lakini nampenda nifanyeje?

    mimi ni msichana nina boyfrend wangu ambaye mapenz yetu yameanza tangu tukiwa udsm mwaka 2004-2007na mpaka leo tunaendelea,mimi nilikuwa wa kwanza kupata kaz 2009 na yeye kipindi chote alikuwa yupo tu mpka alipoenda jeshin na kukamishen mwaka jana . matatizo yanayonifanya niombe ushauri ni kama...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta, maji yapo shingoni, naomba ushauri wapendwa plse!

    yep kweli dzain anataka kuchomoka lakin anashndwa cz anaogopa watagawana mali...wat do u wan braza? in life kuna vtu viwil MALI NA FURAHA if ur looking for hapness bas go ahead n do the nidful na km mali utazpata tu .sa kuna raha gan kukaa na mtu anayekukera daily? km wewe na mali ni damu...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta, maji yapo shingoni, naomba ushauri wapendwa plse!

    dah pole wangu ebu mtume mshenga akazungumze nae kwa kireeeeeeeeeeeeefu na kumshauri nini cha kufanya katika kuendeleza ndoa yenu sasa km awapend ata wazaz wako sasa atampenda nan jaman? ata mtoto wako? eLA ZA matumizi unamtumia ? dah muwege makin mkikurupuka kuoa ndo mnabambana na ma...
Back
Top Bottom