Wakina dada kuvaa viatu vya Plastic,je ni urembo au umasikini ?

Mzee Wa Rubisi

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,757
437
Chupa za maji zinazookotwa na kuuzwa kwa ajiri ya kutengeneza vitu mbalimbali kama vile,sahani,ndoo za plastic,vikombe na mabeseni .SASA WANATENGENEZA VIATU VYA KINADADA NA VIATU YA KUVAA KWA WATAKI WA MVUA .BEI YA VIATU NI KATI YA SH 1000 MPAKA SH 5000 .JE ni urembo au umasikini
 
Fashion ya maplastic plastic............. Acha wanawake waitwe wanawake........... Ila kulikuwaga na chachacha zamani............
 
miaka 80.wakati uchumi wa nchi hupo taabani.wafanyabiashara wakaleta viatu aina ya chacha.sasa je uchumi wa nchi ndo wasababisha kuzalishwa viatu vya kinadada vya Plastic . JE VIATU HIVI VINATAKIWA KUVALIWA WAKATI GANI ?
 
Chupa za maji zinazookotwa na kuuzwa kwa ajiri ya kutengeneza vitu mbalimbali kama vile,sahani,ndoo za plastic,vikombe na mabeseni .SASA WANATENGENEZA VIATU VYA KINADADA NA VIATU YA KUVAA KWA WATAKI WA MVUA .BEI YA VIATU NI KATI YA SH 1000 MPAKA SH 5000 .JE ni urembo au umasikini

Kwa ujumla ni maendeleo na kukuza uchumi ingawa ni kwa manufaa ya wachache; kwa sababu zifuatazo:-

Inasaidia pia kupunguza taka ngumu kama plastic ambayo haiozi kirahisi.
Inaongeza pato la taifa kama itaingia kwenye mzunguko halali wa kiuchumi
Inaongeza ajira; viwanda visingekuwepo, watanzania walioajiriwa huko wangekuwa mtaani
Ina-ongeza kipato kwa wajasiriamali wanauza na kupata pesa za kujikimu hasa wakati huu ambapo maisha yamekuwa magumu.
Visingekuwepo hao wasio nauwezo wa 1000-5000 wangetembea peku. (Unafuu wa bei).
 
mbona hadi wadosi walivaaga yeboyebo,they are keeping it green,na kila m2 uses plastic,na kwa bei chee tu
 
Kwa ujumla ni maendeleo na kukuza uchumi ingawa ni kwa manufaa ya wachache; kwa sababu zifuatazo:-

Inasaidia pia kupunguza taka ngumu kama plastic ambayo haiozi kirahisi.
Inaongeza pato la taifa kama itaingia kwenye mzunguko halali wa kiuchumi
Inaongeza ajira; viwanda visingekuwepo, watanzania walioajiriwa huko wangekuwa mtaani
Ina-ongeza kipato kwa wajasiriamali wanauza na kupata pesa za kujikimu hasa wakati huu ambapo maisha yamekuwa magumu.
Visingekuwepo hao wasio nauwezo wa 1000-5000 wangetembea peku. (Unafuu wa bei).
Je baadaya viatu hivyo kutumika nini matumizi yake tena,Je taka ngumu inaendelea tena
 
Je umetoa offer kwa mpenzi wako mwende sehemu,anakuja kavaa viatu vya plastic.
 
Nyie wote hamna mnachokijua kuhusu hili...uvaaji ni maamuzi ya mtu ndio maana hata Mpoki alitinga kwenye tunzo za kili akiwa amevaa CHACHA hii haina maana ameshindwa kumudu gharama za viatu vya ngozi au vingine vya kawaida! hapana; ni maamuzi tu, vivvyo hivyo wakina dada wanaweza wakatinga viatu vya plastiki kama uamuzi na nyakati zingine inaweza sababu kuu ikawa ni uchumi japo ni vigumu kuthibitisha hilo la uchumi kutokana na fashion kuvamiwa vilivyo...haswa ukizungumzia wakina Dada..mmimi nahisi wamefikia mahala wanatamani kutembea UCHI ila basi tu imeshindikana kutokana na sheria kuwabana.
 
Viatu vya plastic sehemu zenye baridi huvaliwa kukinga miguu kupasuka.sijui hapa Dar wameiga kwa watu gani kwani mwanza huvaliwa kwenye viwanda vya samaki.Wanaovaa wana sababu zao labda tuwasikilize michango yao.Lakini wengine ni mkombo tu hawana sababu yeyote.Uchumi nahisi siyo sababu kwani hata wenye nazo huvaa viatu hivyo.
 
Urembo si kuvaa vitu expensive tu....urembo, kwa maana pana zaidi, ni kupendeza hata ukivaa kitu cha bei chee kabisa! na ukiona mwanamke anayependeza na vitu expensive tuu si mrembo wa kweli bana!
 
Yote kwa yote, tukumbuke bidhaa za kwetu kama viatu vya ngozi mfano viatu vya kimasai/shanga vinapendwa sana Ulaya,Bidhaa za ngozi zinaendana na mazingira yetu pia ni Urembo.
 
miaka 80.wakati uchumi wa nchi hupo taabani.wafanyabiashara wakaleta viatu aina ya chacha.sasa je uchumi wa nchi ndo wasababisha kuzalishwa viatu vya kinadada vya Plastic . JE VIATU HIVI VINATAKIWA KUVALIWA WAKATI GANI ?

enzi za Mwinyi tunakuwa tunaita nikome saa 6, yaani vinavaliwa kuanzia asubuhi mwisho saa 6. Ukivaa baada ya hapo vinakuunguza. Chachacha aka bata tanga
 
Chupa za maji zinazookotwa na kuuzwa kwa ajiri ya kutengeneza vitu mbalimbali kama vile,sahani,ndoo za plastic,vikombe na mabeseni .SASA WANATENGENEZA VIATU VYA KINADADA NA VIATU YA KUVAA KWA WATAKI WA MVUA .BEI YA VIATU NI KATI YA SH 1000 MPAKA SH 5000 .JE ni urembo au umasikini

Kama unajua maana na kazi ya viatu utagundua kuwa swali lako halina maana kabisa, maana wakati tupo darasa la pili tulikuwa tunaulizwa maswali kama:-
Tunavaa Viatu Ili.............................., Hawakusema vya ngozi au vya plastic.
 
Urembo si kuvaa vitu expensive tu....urembo, kwa maana pana zaidi, ni kupendeza hata ukivaa kitu cha bei chee kabisa! na ukiona mwanamke anayependeza na vitu expensive tuu si mrembo wa kweli bana!

mmmmh!
 
Chupa za maji zinazookotwa na kuuzwa kwa ajiri ya kutengeneza vitu mbalimbali kama vile,sahani,ndoo za plastic,vikombe na mabeseni .SASA WANATENGENEZA VIATU VYA KINADADA NA VIATU YA KUVAA KWA WATAKI WA MVUA .BEI YA VIATU NI KATI YA SH 1000 MPAKA SH 5000 .JE ni urembo au umasikini
hapo kwenye red nimepapenda
 
Back
Top Bottom