Kinachonishangaza zaidi unakuta mdada mrembo haswaa, akiingia mahali anavutia haswaaa, lakini anaamua kutembea na mume wa mtu, tena kwa kuzurura nae kila kona, sehemu za starehe etc, mdada kama huyu anakuja kuzinduka jua linazama.
Tuache kujifariji, sio lazima kila mwanamke lazima aolewe lakini asilimia kubwa ya wanawake wanatamani ndoa, ndoa nayo ina raha yake jamani, tena sana tu
Nimekumiss pia, ni majukumu tu yanabana, ukweli ni kwamba hakuna kosa kubwa kama msichana kuchezea usichana wako na mume wa mtu, yaani anakulostisha, anakupotezea ramani ukijakushtuka unagonga 30 na hakieleweki, yaani nikionaga mrembo anahangaika na waume za watu huwa namshusha dhamani sana, ni...
Pako poa sana, sikumuona mhusika lakini niliambiwa ni kajamaa tu ambacho kamejipanga vizuri, ni kama alivyojipanga Mathayo, Ngongo unammanya Mathayo? jamaa yupo vizuri sanaa hapo moshono kapachafua balaa, hawa ndio vijana wa mawe wenye kutumia akili zao vizuri sasa.
Kiujumla upande wa madini kumeshajifia, naona dogo wa kihindi nae kanunua maduka, nilishangaa kweli dogo na duka la vifaa vya umemre leo ndio tunaambiwa anachukua yale maduka ya wazungu, hii ndio TZ aisee, maajabu kama haya yanapatikana hapa kwetu tu.
Yap, labda kwasababu mie sio kwamba nawasiliano yetu ni sababu ya kazi bali mambo yetu binafsi, ya ushikaji na kimaisha zaidi, ial huo mgogoro wa warangi nimeusikia sana, kwamba warangi wote hapo wamekuwa maboss.
Kitu ambacho hawakijui ni kwamba mapenzi hayapimwi kwa namna ya tendo tu, na hicho kitu kila mtu anacho, uweje leo mwanamke ujione ndio special sana na kujihisi ndio utapendwa zaidi ilihali akiitaka kwengine popote anapata? binadamu wengine jamani sijui wapoje kwa kweli.
Mwanaume kama huyo hata siku moja hawezi hata kujifanya amekosea njia kwa bahati mbaya, na mwanamke ukawa na mume wa kukutamkia kitu kama hicho huyo sio wa kuitwa mume kamwe, labda na mwanamke nawe uwe tayari kwa kufanyiwa huo ufirauni ndio utamuona kama ni mume na baba wa watoto wako.
Hii kitu ina ugumu wake, labda kuanzia mlivyokuwa marafiki huko mlishaanza huu mchezo, sasa kwa mfan o leo hii mimi msukuma aje aniambie hii kitu uhakika ni kwamba italea mgogoro mkubwa sana na labda ndoa ndipo itakapovunjikia hapo.
Sio mume tu, hata boyfriend, na wanaume wanaangaliaga watu wa kuwaomba huo ujinga eti. Na ukweli ni kwamba mume mwenye kukuheshimu na kujua dhamani yako kamwe katu hawezi kuongea huo upuuzi achia mbali kujifanya kakosea njia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.