Imekaa poa ila sasa tatizo ipo kwa maana kwamba wazo lake limekuja nje ya muda, labda tusubiri uongozi ujao. Kwa sasa hata kama ni wewe umebakiza miaka hiyo afu ndo ubadilishe maono yako na kuanza upya ni vigumu. Ila ushauri huu unashikika kabisa.
Nafikiri maswala ya utu wa mtu haiwezi kubaguliwa kwa kigezo cha chama cha mtu bali ni kuzingatia tu thamani ya mtu. Hivyo watanzania wote wajikite na wahusike kwa kila namna ili Mungu amrudishe huyu jamaa Mr.Mo akiwa salama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.