Recent content by Nyamafu

  1. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ester Noah Mwanyilu, Mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya Pandahill Mbeya amepotea

    Na changamoto ya malezi inaanzia nyumbani Tunalea watoto kama mayai Tunawadekeza sana Walimu wanapata wakati mgumu. Anyway tuendelee tu kumuombea mtoto apatikane
  2. N

    JamiiForums Tanzania SAUT yafuta degree za Madaktari wa Afya 162 waliohitimu Chuo cha Mt. Francis

    Nadhani hao wahitimu wanadaiwa ada na chuo , ndio maana walifanya mpango kuchukua nakala kinyemela
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasambaa wanapenda sana kuongea kilugha hata mjini?

    Ha ha ha ha
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasambaa wanapenda sana kuongea kilugha hata mjini?

    Uko kwe mbweshunakwe
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasambaa wanapenda sana kuongea kilugha hata mjini?

    Kuzaasha kuzafanana na ghuo mosieh yuwe
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasambaa wanapenda sana kuongea kilugha hata mjini?

    Kweli kabisa Zumbe huyu Mdigo mzigua wivu unamsumbua sana
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu sumu: Msela nondo anapigania uhai wake Bugando

    Tabia ya kiswahili na ya ki zamani sana hii, mizigo yote singo imejaa kuanzia barabarani mpaka bar uende kuparamia ndoa za watu.Kuna wadada wako single wazuri unaenda kuweka kikojoleo kwa mwanamke ambaye unajua jana usiku alingonoka na mmewe
  8. N

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi bi Mwantumu Mahiza!?

    Ha ha ha Tanga moja hiyo maeneo ya Moa , Zingibari kuelekea Kenya,hufanana na wadigo na wasambaa pia na ni wa Swahili haswaaa…kama unakumbuka kibwagizo “ Sijauona mpilipili na maua yake mchikichooo” wameambaa mpaka Kenya huko
  9. N

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi bi Mwantumu Mahiza!?

    Ndio kesharudi leo sasa
  10. N

    JamiiForums Tanzania Vicoba vitamaliza wake zetu

    Wanawake zetu wana tamaa ya kupata pesa bila kufanya kazi… ndio maana utakuta wanadanganywa kuanzia 1.Vikoba 2.Biashara za mtandao sijui neolife, forever living 3.Upatu kama Blockchain sijui B9, Deci 4. Kwenye dini na imani nyingine kama kwa mwamposa , waganga kienyeji Wana roho ndogo sana hawa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa ardhi kati ya JNIA na wakazi wa Kipunguni

    Daah tangu 1998
Back
Top Bottom