Recent content by Nyalikanho

  1. Nyalikanho

    Kwanini kuna ugumu mkubwa kufungua kikundi cha maendeleo kisheria

    wadau habari msaada tutani... JOB tupo kama mtu tano tunahitaji kuanzisha kikundi cha maendeleo ila tunataka kukisajili kisheria ili litakapotokea lolote kila mtu awe na haki sasa changamoto inakuja kuna vipengele vingi sana tukienda kwa mwanasheria mf. lazima uwe na physical address + P.O.BOX...
  2. Nyalikanho

    KERO Suala la baa kupiga muziki kwa sauti ya juu mpaka kunakucha huwa linashughulikiwa na mamlaka gani katika eneo husika?

    Hivi ishu ya baa kupiga muziki wa hali ya juu mpaka kunakucha huwa inasuluhishwa na mamlaka gani katika eneo husika kwa uharaka na bila kujulikana?
  3. Nyalikanho

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    ok ila mfumo wa ufanyaji kazi wa HDD ni tofauti na usb flash mkuu
  4. Nyalikanho

    Gharama za hati ya kusafiria (passport) zipoje?

    ok so madhara ya kudanganya huko mbeleni? je, nikiwaambia ukweli inamana sitapewa passport kwa kuwa sina safari yoyote?
  5. Nyalikanho

    Gharama za hati ya kusafiria (passport) zipoje?

    Hivi naweza kupata passport hata kama sina safari? Lengo kuna online registration zinataka uwe na passport ndo upate huduma iliyo advanced zaidi...
  6. Nyalikanho

    Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    onesha niende uzi gani then kama jibu unalo unashindwa kulitoa kisa uzi sio? unajenga au unaongeza ukakasi tu....
Back
Top Bottom