Recent content by NYAKIMWE

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siasa za Kenya ni usanii mtupu, bora TZ yetu mara 10!

    Sorry kumrith Uhuru come 2022
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siasa za Kenya ni usanii mtupu, bora TZ yetu mara 10!

    Siku zote Wakikuyu hawaaminik kabisa ndio maana Peter Kenneth ametangaza kuwania Ugavana wa Nairobi lengo ni kuja Kumrithi Ruto mwaka 2022
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siasa za Kenya ni usanii mtupu, bora TZ yetu mara 10!

    Anne Waiguru anapambana na DP William Ruto na hii naiona kama ni vita ya kati ya Uhuru na Ruto! Maana Anne Waiguru ni close confidant wa Uhuru
  4. N

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole on Star TV: Hama Hama katika Vyama, ni kwa Maslahi ya Nani?

    Star TV wanakosea kuleta mchambuzi wa upande mmoja
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kauli za Kikwete na Nape, zaashiria uchakachuaji wa matokeo ya uchaguzi!

    Naomba atakae changia hapa awe objective maana tunataka kuleta reforms kwenye nchi yetu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kauli za Kikwete na Nape, zaashiria uchakachuaji wa matokeo ya uchaguzi!

    Okay, good analysis kaka, so are you suggesting to go the way of All Progressive party of Muhammadu Buhari? Kwamba tuwe na matokeo yetu na National Tallying Centre?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kauli za Kikwete na Nape, zaashiria uchakachuaji wa matokeo ya uchaguzi!

    Mkuu Ruta umekua kimyaa sana kwenye mambo yanayoendelea hapo Nyumbani Tanzania, nilipenda sana uchambuzi ulioufanya mwaka 2013 huko Kenya kati ya Raila na Uhuru,pia ilionekana kuiponda sana mahakama ya ICC kua ni kibaraka wa wazungu! Naomba analysis ya wagombea hawa wali
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge Busanda apata wakati mgumu

    Mkuu Pasco naomba nikurekebishe Katoro sio kitongoji bali ni mji mdogo
  9. N

    JamiiForums Tanzania Anne Makinda is poised to grab CCM Presidential ticket but where is her hubby?

    Rutashubanyuma pls can you write about Uhuru presidency as he faces serious challenge on insecurity and rampant corruption in his Jubilee administration
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya dhana ya kiongozi wa chama cha ACT?

    Prof Kitila naomba nikusahihishe kidgo kuwa Mwenyekiti wa ODM anaitwa John Mbadi, Kosgey ameshaachia
  11. N

    JamiiForums Tanzania Uandikishaji Wapiga Kura na Tatizo la Kukosa Ubunifu - Upeo Unaposhia Ufukweni...

    Mkuu Mwanakijiji habari za Detroit,
  12. N

    JamiiForums Tanzania Anne Makinda is poised to grab CCM Presidential ticket but where is her hubby?

    Rutashubanyuma do you think Tanzanians are ready for Woman President?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Vurugu Kilimanjaro Serikali za Mitaa,mtendaji apata kipondo

    Jana nilikua na OCD wa Wilaya moja akaniambia kuwa kilichobaki ni kutenda haki tu ndio kitakacholeta Amani maana wananchi wameshaelika sana hawapendi kona
Back
Top Bottom